Financial hub ya East Africa iko wapi?

Financial hub ya East Africa iko wapi?

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Financia hubs zinaza endeleza miji husika. Mipango mingi ya biashara hufanyika humo na wageni wanahitaji usafiri, malazi, chakula, kununua zawadi kwa wapendwa wao na hata nguo zinazoendana na hali ya hewa katika miji waliyofikia.

Huduma hizi zote huzalisha ajira, kuanzia tax, cafe, migahawa, hotelini, maduka ya nguo na vipodozi na hata mapambo ya asili.

Miji inayosifika kuwa Financia hubs ni New York, London, Zurich na Dubai. Katika bahati tunazopata Tanzania ni kuwa na Mawaziri wa Fedha wenye PhD za uchumi. Ingependeza wabunge wetu waulizia mikakati waliyo nayo ya kuifanya Dar es Salaam kuwa financial hub ya East Africa au Afrika kwa ujumla.
 
Ukiwa waziri tuu unaacha PhD zako pembeni unatekeleza ilani tuu, bomoa pare jengaaa kuree.
 
Back
Top Bottom