Katika pitapita zangu za kutafuta hapa na pale nilikutana na ushauri kwamba kama unataka kuwa muwekezaji mzuri hata kama unafuga njiwa au unamiliki 5 star hotel unashauriwa kuwa na professional financial security adviser.
Kwa watu wenye ufahamu na haya mambo please naomba ushauri wenu, nitampataje huyo mtu kwa hapa DSM.
Natanguliza shukurani zangu kwenu.