Financial Services ukinipea ntawezana...

Kweli kabisa, vijana msiimagine vitu vikubwa sana kwa mtu ambaye humfahamu ili kujiepusha na disappointments ,japo naamini kuna wazuri kweli ila mimi mmh.
Ah wee!!ngoja Nije PM ntajua ukouko asee!!
 
Komaa chali angu naona machalii wanakuwa kama wanakutisha vile ila mimi nakusapoti chali angu komaa na huyo mamsi ni msupuu sana si unajua wajuba tunaishi kwa hisia.
Nakubaree sana mwamba,wewe tu ndo umenipa moyo asee,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ