sina biashara mkuu ila uhakika wakurudisha 600,000 kwa mwezi ninao na mkataba wa kuthibitisha ninao. ila wakulima wananyanyasika sana kwenye mikopo.una biashara? kama huna imekula kwako.
sasa hivi wanaanzisha mkopo wa kilimo, sijui wamefikia wapi.
its obvious mikopo ya MFI's riba zake ni kubwa sana, unatakiwa ujipange, unaweza ukafilisika.
wadau nataka kwenda kukopa kwa hawa jamaa naomba anaowajua anijuze kuhusu riba zao, wanatoa maximum kiasi gani. pia kama wanakopesha mtu anaetaka kulima, nina kiwanja chenye hati na kipato cha 900,000 kwa mwezi ila sijaajiriwa. ntaweza kurudisha 600,000 kwa mwezi.
mkuu kunasehemu unafahamu wanaweza nikopesha?Huwa wanakopesha mtu ambae tayari ana biashara na wamejiridhisha kuwa return yako mwisho wa mwezi itarudisha pesa yao bila shida. Na kama ni mara yako ya kwanza watakupa kwa miezi sita uwe umemaliza marejesho.
mkuu kunasehemu unafahamu wanaweza nikopesha?
15m ndo nahisi ntatimiza malengo.
Nenda nmb, sina maelezo mengi zaidi ya hayo.
scopi_on_nge nimeku PMKama una kadi ya gari au hati ya nyumba ni PM
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums