Finca.

Finca.

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
wadau nataka kwenda kukopa kwa hawa jamaa naomba anaowajua anijuze kuhusu riba zao, wanatoa maximum kiasi gani. pia kama wanakopesha mtu anaetaka kulima, nina kiwanja chenye hati na kipato cha 900,000 kwa mwezi ila sijaajiriwa. ntaweza kurudisha 600,000 kwa mwezi.
 
una biashara? kama huna imekula kwako.

sasa hivi wanaanzisha mkopo wa kilimo, sijui wamefikia wapi.

its obvious mikopo ya MFI's riba zake ni kubwa sana, unatakiwa ujipange, unaweza ukafilisika.
 
sina biashara mkuu ila uhakika wakurudisha 600,000 kwa mwezi ninao na mkataba wa kuthibitisha ninao. ila wakulima wananyanyasika sana kwenye mikopo.
 
wadau nataka kwenda kukopa kwa hawa jamaa naomba anaowajua anijuze kuhusu riba zao, wanatoa maximum kiasi gani. pia kama wanakopesha mtu anaetaka kulima, nina kiwanja chenye hati na kipato cha 900,000 kwa mwezi ila sijaajiriwa. ntaweza kurudisha 600,000 kwa mwezi.

Huwa wanakopesha mtu ambae tayari ana biashara na wamejiridhisha kuwa return yako mwisho wa mwezi itarudisha pesa yao bila shida. Na kama ni mara yako ya kwanza watakupa kwa miezi sita uwe umemaliza marejesho.
 
mkuu kunasehemu unafahamu wanaweza nikopesha?
 
Back
Top Bottom