Find your true love

unique one

Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
42
Reaction score
10
Watu Wengi wamekuwa na wapenzi zaidi ya wawili
Hii ni ishara ya kuwa wote alionao awe mwanaume au mwanamke amewatamani tuu Hakuna na upendo wa kweli ndani *true love *
Na tabia hii imewafanya Wengi kushindwa kumjua mpenzi wake wa kweli wa kufa kufaana
Utasikia kidume kikisema nataka demu Mwenye shepu aliyejaliwa
Utasikia demu nae akisema nataka dume Mwenye Pesa zake body builder
Lakini wanasahau kuwa mpenzi ya kweli hayaangalii sura wala status ya mtu tajir au maskin
Ila true love linatazamwa ndani Ya mtu
Hebu tujihoji wakaka ni Kwann tunasemaga natafuta WIFE MATERIAL [emoji6]
au Wadada Utasikia HUSBANDS MATERIAL [emoji108]
hiyo yote ni misemo tu ila inaakisi kuwa NATAFUTA MUME AU MKE
lakini ukiwa umezoea michepuko utazoa yeyote mwenyewe wife au husband material bila kujali je ana mpenzi ya kweli [emoji16] [emoji132]


Mwenye true love Nawe
1. atakupenda vile ulivyo atakuthamini kwa Hali zote
2.atajisikia vibaya aaipokuwa Nawe
3.atakupenda KWA moyo wake wote


Wadada Wengi wanaumizwa ni kwasababu wao kwa asilimia nyingi hupenda tofauti Na mwanaume ambao sis hutaman Na kupenda pia
Ila hakika nakuambia Dadangu ukimpenda mpenzi wako wa kweli *true love * hutojuta
Maana sio utampenda tuu Bali mtapendana


True love [emoji7] is wonderful
Achana Na michepuko
Fuata moyo [emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Mkuu haya mambo ya mahusiano hayana formula....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…