My concern shouldn't be whether a chick is down for a fine or casual dining, should be whether she is down to .f.
Kitu pekee nachopendea na kumiss fine dinning ni ile mara kasoup sijui salad(starter) mara ulichoagiza ukimaliza mara kaice cream tena 3 layers, waoo unakula mara kibao, huku ukiwa unasubiri chakula utaletewa maji au bia, na ukimaliza maji au bia.
At Least na wao wangekuwa wanatuwekea kastarter hata kitunguu tu inatosha.
Very true Mkuu, the idea of throwing 200K or more for dinner does not seem right to some chicks especially those who cant even afford Bajaji fare to the dinner joint. Lets be fair to our lovely sisters, just buy her kitimoto and enough balimi, which at the end, you will part with 50K or so and the balance donate for her upkeep
sasa mzee unaokota dem kinondoni,sinza au tabata hana hata exposure unataka alie uma...Wafine dining wanakamatiwa expert groups,sijui Tango and kizomba group,huko kwenye groups club or else utaishia lalamika tu..
lakini hizi burger za Dar utamu wake huwaga ni location au? mfano hao wa Sinza Mori wakihama zinakuwa mbaya chukulia mfano pale Moroco wakahamia leaders zimekuwa mbovu hazijawahi tokea.Nimezimiss burger za wale jamaa wa sinza mori. Wale jamaa wana burger tamu bwana sijawahi zila sehemu.
lakini hizi burger za Dar utamu wake huwaga ni location au? mfano hao wa Sinza Mori wakihama zinakuwa mbaya chukulia mfano pale Moroco wakahamia leaders zimekuwa mbovu hazijawahi tokea.
sijajua.... ila wale kina dada wa big bon sijui wanaweka nini...walikuwa wananitoa mbali saana.
casual dining inakufanya uwe huru unasahau hata social class yako aisee.. alafu cc wa uswazi ukienda fine dining unajishtukia kinomi yaan jau sana bora casual
Like seriously???mbona most of them men thy dont even knw the table manner na kutumiaaa umaa wapo rafu ilhali wao ndo wanatoaaa hizo offer??by the way Nyani ashasema katoka na wa kilaa aina which means huwez mtoa asha ngedere from manzense and expect akatunie uma kama inavyotakiwaaa zaidi atatumia.mikono which means inategemeaa ni mtu wa aina gani anataka kumoa offer kwa siku hiyoBongo chicks fear fine dining cz most cant use the cutlery........eat chicken with a fork & knife?...that sh*t scares the hell outta em ho`s....!
Tatizo menu, menu jamani unaweza ukaona umeagiza nyama choma kumbe ikaja uji uji wa nyama au chai ya nyama, kubadilisha haiwezekani.
Unabaki unajilazimisha mwisho utaishia kutapika.
Hapo mi nakulaumu ww coz unatakiwa umuelekeze coz ushasemaa ni wa diff levelsHahahaaaa.
Ushawahi kwenda na mtu fine dining halafu wote mnaletewa menu mchague mnachokitaka?
Sasa uko na mwenzio hapo na anaonekana yuko busy kuiangalia hiyo menu utadhani anajua anachokitaka.
Waiter/ waitress akija kuchukua orders zenu mwenzio naye anaishia kuagiza ulichoagiza wewe kwa sababu hivyo vingine vya kwenye menu havielewi ila anaamini ulichoagiza wewe kitakuwa kizuri....
Inafurahisha kwa kweli!
Thnk usasa mzee unaokota dem kinondoni,sinza au tabata hana hata exposure unataka alie uma...Wafine dining wanakamatiwa expert groups,sijui Tango and kizomba group,huko kwenye groups club or else utaishia lalamika tu..
Hapo mi nakulaumu ww coz unatakiwa umuelekeze coz ushasemaa ni wa diff levels