Fine dining vs casual dining: Tanzanian chicks

Kwahiyo sifa umeona kujua kizungu....ishu ya where you want to dine its a personal choice,culture and all that ..So mwisho wa siku ni swala la preference tu..
Ndugu kizungu unakijua lakini?

NN kasema kadate na wanawake aina zote sijui umeelewa.

Halafu sidhani kama kalalamika.

Sent from my SM-T116 using JamiiForums mobile app
 
Naruhusiwa kuleta fujo na uchokozi hapa...??!!

Kabla sijajibiwa ngoja nijiongelee. Niko hivi, nikiwa natoka mtoko na mkaka ninaye mpenda na niko na mihemko nae yaani huwa sisikii njaa wala sisikii kula. Sana sana ntaishia kunywa maji au ntadoe alichoagiza kidoogo na hapo akinibembeleza sana nile. Laah ntaishia kuagiza chicken wings au chips kavu. Ama naangiza chips kuku ila yule kuku atamla yeye mie ntadonoa chips mbili tatu basi.

Kwanini nafanya hivo, sipangi ila huwa inatokea tuu.... Mahaba yakinizidi njaa siisikii nakuwa nafurahia wakati wa kusikia sauti, kufinywa, kung'atwa, kuchokozana, n.k.

Na ikiwa ni sehemu ya self service, I will serve him halafu mie nakunywa maji tuu, akishiba yeye mie nabeua.., ahahahaha

Hivi kubeua kwa kiingereza ni nini? (I can't ask google pls) najua tangu nakua nimefundishwa kubeua (hasa mbele za watu) ni tabia mbaya. Basi ntabeulia ndani la blouse au chini ya meza ila in silent mode.

Nikiruhusiwa ntasimulia tukio flani hivii....
 

Kubeua ni burp[ing].

Fujo na uchokozi rukhsa ila vidole masikioni hapana.
 
Kubeua ni burp[ing].

Asante mwalimu, nimeongeza msamiati. Ntauongeza kwenye Lordship hehehehhehee

Fujo na uchokozi rukhsa ila vidole masikioni hapana.

Hhahahahahhahahahahahhaa nimecheka kwa tabasamu panaa, OK nimetii.

Ila najiuliza tuu hapa ntaweza kweli kutii bila shuruti...... kidole kina kazi nyingi.... kubonyeza, kuchovya, kukoroga, kutambaa / kutambaiza, n.k.Basi hivi nimesema nimetii haya Kasie natii hakuna vidole ahahahahahahhahahhahhaha

Sasa ntandikaje bila vidole eehehehehehehhehehehehehhee

Nifukuze basi maana nafyatu fyatu tuu hapa, ngoja niende zangu kuleee....

Kuna date moja nilienda na mchuchu (hivi hata mwanume ni rukhsa kumuita mchuchu eeehhh..?? ikimaanisha mchumba....!! hehehehehhehee nisije nikafinywa bureee

Basi hiyo date kama kawaida yangu nilikuwa so exited na mchuchu, namtizama tuu sijui kama yeye ananishiba taswira yangu au laah. Akatoa hela ila akomba yeye awe lazy lizard / Lacostee. Nikasema I'll serve you Lordship, ilikuwa sehemu ya self service. Nikamuuliza alichohitaji, ila pesa yake nikamwambia iweke kwanza nikiihitaji ntaichukua. Huyo nikanyanyua fito za kinyamwezi nikamletea. Baada ya muda kwenye maongezi akataja msosi flani hivi (nikiusema hapa mtajua, acha ubaki kwenye mabano) nikaenda muagizia akala kwa raha zake.

Date ikaisha na kung'atana see you next time....

Nafurahia sana kutoka mtoko na mtu niliyemshiba, uso unakuwa mng'ávu hata kama sijapaka mafuta nang'aa tuu na huwa namshiba huyo hivo msosi unakosa mahala pa kukaa.

Ngoja nikaanzishe vurugu kwingine.

K' Matata
 
Kwenye
he He He kula na epron kama mwanangu haki sishibi, kuna ile translation ya kuweka vijiko na uma ukiweka tofauti unashtukia muhudumu amekuja ameondoa kumbe ulikuwa unatafuta pozi unabaki unajiuma jiuma, table manners ni mtihani kwa kweli.
du!!!umenichekesha sana!!
 
What are some of the fine dining spots in Dar?
 
Because of the fancy words they use at those places watanzania wamezoea kachumbari but uko utasikia sijui salad Mara napkin sijui nn eeeeish
 
Because of the fancy words they use at those places watanzania wamezoea kachumbari but uko utasikia sijui salad Mara napkin sijui nn eeeeish

Mbona hivyo vyote hata huku uraiani vipo!

Hizo napkin / tishu hata ukinunua maji kwenye vi baa vya Uswazi unapewa.

Kachumbari ndo hiyo salad.

Vitu ni vilevile tu.
 
Ngoja tujifunze matumizi ya kisu na uma, matumizi ya starter, main dish na desert, matumiz ya table manners, how to use napkins, alafu tutafaa tu mkuu usiwe na haraka.
kazi boss wangu uma 3,glasi4, zote ujue kazi zake,sasa changamoto ni pale unapotest kitu ambacho hujakipenda unatakiwa uende ukakitoe huko wash room kwa swaga ambazo utamdisturb mtu bila kusahau phone management ,mara umeacha uma na kisu parallel muhudumu anapitia sahani na li T bone stake halijaliwa kwenda kumwaga
 
Mbavu zangu jamanii
 
Mbona hivyo vyote hata huku uraiani vipo!

Hizo napkin / tishu hata ukinunua maji kwenye vi baa vya Uswazi unapewa.

Kachumbari ndo hiyo salad.

Vitu ni vilevile tu.
Aaaaah!hao wasiojua vinega inauua worms kwenye kachumbali ,tunabeba minyoo tu huko uswazi
 
Hahahaha uzungu shida bora tuwaachie wenyewe
 
Bro by engaging her for a decent and fine dinner as you intended and think that you both walking in a line of decency,for bongo you just fooled your self because what is in there minds is how much money you will give them instead of how that evening is romantic in building up relationship and how much money you will spend in that kind of evening! So much uncivilized and selfish, be on safeside just go for cheap kitimoto and konyagi or couple of beers go get her and give her like 50k that will be great and fine for her
 
Shikamoo mnyamwezi...
 
Ozil OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL OZIL without him no arsenal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…