Kiukweli kabisa mama mdogo ni kosa kisheria na faini ipo na kama mngeenda Tanroads kweli faini ingewahusu ila pia brother kaka maana najua huyo boya hakuwa mwanamke ni janaume na hapo lilitaka mkilikata hela chap iwe ya kusafushia vumbi la barabara .Habari wana jukwaa,
Hii iwafikie wanaojua sheria za Tanroads
Naomba kuuliza wajuzi, hivi ikitokea kuna mradi wa ujenzi barabara njia imekuwa diverted na wewe ni mgeni eneo hilo kwa bahati mbaya ukapita ila ukashtuka haiko sawa ukaona ugeuze.
Unafika mbele kidogo kuna mtu katufata chap kwa haraka na boda nyuma anatusimamisha anadai twende tanroad tukalipe fine ya tsh 1,800,000/- tumeomba msamaha sana na kumwambia mmoja wetu ni mgonjwa kaja tu hospitali na hatukujua, hiyo pesa hatuna labda tusaidiane tu, haelewi huyu mtu, anauliza tumpungukiw ashingapi atusaidie! baadaye tukaanza kupiga simu kwa tunaowajua ili tufanyiwe wepesi tuendelee na safari zetu ndio akasema katusamehe tuendelee na safari!
Kwahiyo nataka kujua ni kosa kisheria kupita eneo lililozuiliwa kupita maana yake ni kuingilia mradi, na umeingilia huo mradi kivipi? Na kama unapaswa kulipa fine, hiyo fine ni shingapi?
1.8k ni Tsh. 1800. Unamaanisha hivyo? Sasa si mlipe muondoke zenu😅😅😅Hahaha 1.8k mkuu, kwahiyo ni sheria kabisa ipo?
Bwana wewe umeelewa kikubwa inahitajika faini!😀 Hizo fine ni kubwa sana masikini hatuna hiyo pesa kwa harakaharaka hivyo au nikupe acc utulipie mkuu😎1.8k ni Tsh. 1800. Unamaanisha hivyo? Sasa si mlipe muondoke zenu😅😅😅
Fine za Tanroad ni kubwa sana, sio kama za polisi(usalama barabarani)
Ni laki na 80 ama mil moja na laki 8?Bwana wewe umeelewa kikubwa inahitajika faini!😀 Hizo fine ni kubwa sana masikini hatuna hiyo pesa kwa harakaharaka hivyo au nikupe acc utulipie mkuu😎
Lipeni fine, hakuna njia nyingine ya kusaidiwa, lipa fine kwa maendeleo ya taifa lako.Bwana wewe umeelewa kikubwa inahitajika faini!😀 Hizo fine ni kubwa sana masikini hatuna hiyo pesa kwa harakaharaka hivyo au nikupe acc utulipie mkuu😎
Hahahaa Kumbe? Na ndio hiyo gharama yenyewe au kuna nyingine tofauti?Kiukweli kabisa mama mdogo ni kosa kisheria na faini ipo na kama mngeenda Tanroads kweli faini ingewahusu ila pia brother kaka maana najua huyo boya hakuwa mwanamke ni janaume na hapo lilitaka mkilikata hela chap iwe ya kusafushia vumbi la barabara .
Pole sana kwa hayo ila hongera kwa kuyamaliza salama
Toa kitu upate kitu!Kwani hairuhusiwi kulipiwa mkuu, na kama sina?