Na wewe kausha basi hujui kakosea mwenzio hesabu sio za kila mtu..!! πΉπΉ1.8k ni Tsh. 1800. Unamaanisha hivyo? Sasa si mlipe muondoke zenuπ π π
Fine za Tanroad ni kubwa sana, sio kama za polisi(usalama barabarani)
Nimecheka alivyokukalia kooni, anaacha kukusaidia kulipa faini mtoto mzuri πΉπΉWatu tuna F ya madhe
Nina ndugu wa kike mmoja tu, wengine wote ni halali yanguSisi ni ndugu
Huyu tunapanda nae juu, akishuka tunashuka nae. Ndio kanuni ya hapa jf...πNa wewe kausha basi hujui kakosea mwenzio hesabu sio za kila mtu..!! πΉπΉ
Waliwaona mna sura za hela ndio maanaMillion 1 laki 8
Sasa mkuu unaambiwa ni kosa unaendelea kuleta excuse unataka ujibiweje?Hatujafanya lolote zaidi ya kupita na kugeuza haraka tulipogundua sio njia..
Duhh umeibukia wapi tena mzee? Hii mada ilishaelezewa tukaelewa! soma post nzima kabla ya ku quote watu na sukari ikiwa juu namna hii!Sasa mkuu unaambiwa ni kosa unaendelea kuleta excuse unataka ujibiweje?
Kwani maeneo ya jeshi wanapoweka katazo labda la kutokupita nawe ukapita pasipo kufanya chochote kama unavyo sema huwa nini kinatokea?
Huko kupita tu sehemu yenye katazo ndo kufanya chochote sasa.
Ooh okay! Sema wale sidhani..Hakuna hilo kosa kisheria, wahuni wangekuwa wameshwapiga sana watu pesa, sema wakikuzuia na mpelekane mahakamani ni usumbufu tu na zinaweza kutumika Sheria nyingi hata za uhujumu uchumi au uharibifu wa mali za umma kwa makusudi.
Nilitamani tu angalau ujumbe wangu ufike hata kama utakuwa umechelewa na nashukuru imekuwa hivyo na bila shaka sijamkwaruza mtu labda ni mbaya kama umekwaruzika mzee mwenzanguDuhh umeibukia wapi tena mzee? Hii mada ilishaelezewa tukaelewa! soma post nzima kabla ya ku quote watu na sukari ikiwa juu namna hii!
Uzuri mzee mwenzio nina pressure tu sasa sukari yako heri imeshuka maana ingeniathiri mimi pia! Asante kwa kufikisha ujumbe!Nilitamani tu angalau ujumbe wangu ufike hata kama utakuwa umechelewa na nashukuru imekuwa hivyo na bila shaka sijamkwaruza mtu labda ni mbaya kama umekwaruzika mzee mwenzangu
Ahahhaaaaa, sasa basi sote tuwe na usiku kama huko kwenu nako ni usiku kama huku kwetu.Uzuri mzee mwenzio nina pressure tu sasa sukari yako heri imeshuka maana ingeniathiri mimi pia! Asante kwa kufikisha ujumbe!