Mimi nakumbuka ilituma yenyew kwa MTU nae mdai et "nimekusamehe saba Mara sabini maisha mwema πππ"
Tecno ni uchafu mkuu......Siku nliiweka mfukoni ilikua haija-sleep, asee yaani nlikuta imetuma picha watsap, msg za kawaida na imejipigaa daaaaah sitasahau siku hiyo
Katekino kangu bhana ikiacha tabia screenshot iyo siku nitafurahi kwakweli,πππ kweliii
Katekino kangu bhana ikiacha tabia screenshot iyo siku nitafurahi kwakweli,
Unakuta nimeweka mfukoni basi inajipiga picha kwenye wallpaper kama zote inapenda kujiself hii simu daaah πππππππππππ