Finger print za techno bhanaaπŸ˜‚πŸ˜‚

Finger print za techno bhanaaπŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kwani uongo?
 
Tecno ni uchafu mkuu......Siku nliiweka mfukoni ilikua haija-sleep, asee yaani nlikuta imetuma picha watsap, msg za kawaida na imejipigaa daaaaah sitasahau siku hiyo
 
Mimi nakumbuka ilituma yenyew kwa MTU nae mdai et "nimekusamehe saba Mara sabini maisha mwema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚"
Tecno ni uchafu mkuu......Siku nliiweka mfukoni ilikua haija-sleep, asee yaani nlikuta imetuma picha watsap, msg za kawaida na imejipigaa daaaaah sitasahau siku hiyo
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweliii
Katekino kangu bhana ikiacha tabia screenshot iyo siku nitafurahi kwakweli,
Unakuta nimeweka mfukoni basi inajipiga picha kwenye wallpaper kama zote inapenda kujiself hii simu daaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kweli tecno mkombozi
Katekino kangu bhana ikiacha tabia screenshot iyo siku nitafurahi kwakweli,
Unakuta nimeweka mfukoni basi inajipiga picha kwenye wallpaper kama zote inapenda kujiself hii simu daaah πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii nimeiona sana kama miezi miwili iliopita, zamani sana
 
Back
Top Bottom