Finland kujadili uwezekano wa kujiunga NATO

Finland kujadili uwezekano wa kujiunga NATO

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Vyama vya Kisiasa vinatarajiwa kukutana ili kujadili shambulio la Urusi dhidi ya Ukraine, ikielezwa uvamizi wa Urusi umesukuma Umma karibu zaidi na NATO. Uwezekano wa Taifa hilo kujiunga na NATO pia utajadiliwa.

Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Sanna Marin amesema ni jambo la kueleweka kuona Raia wengi wamebadili au wanabadili mawazo yao baada ya Urusi kuanzisha Vita na Ukraine. Finland ina mpaka mrefu zaidi na Urusi barabi Ulaya (Kilomita 1,300) lakini si sehemu ya NATO licha ya kuwa Mshirika wa karibu.
===

Russian aggression in Ukraine has pushed the Finnish public closer than ever to NATO.

Finnish political parties will gather on Tuesday to discuss Russia’s attack on Ukraine and Finland’s role in Europe’s new power balance. Finland’s potential NATO membership will also be on the table, Prime Minister Sanna Marin told reporters Monday.

The mood in Helsinki is tense: Finland has Europe’s longest border with Russia at over 1,300 kilometers, but is not a part of the military alliance. The country is a close ally of NATO, but there has been little appetite to join the club — until now.

“It is very understandable that many Finns have changed or are changing their minds after Russia started waging war on Ukraine,” Marin said.

Finns are evaluating “what is the line that Russia has crossed, and what is the line that Russia will not cross … And if Russia does cross some line, do we face it alone or together with others,” Marin said. She did not comment on her personal position on NATO.

A survey by the Finnish broadcasting company Yle found that 53 percent of Finns support their country joining NATO. This figure goes up to 66 percent if neighboring Sweden were also to join NATO. This marks a drastic shift in public attitudes — in the previous poll in 2017, only 19 percent of Finns supported NATO membership.

A citizens’ initiative to hold a referendum on whether Finland should join NATO gathered the required 50,000 signatures in less than a week, which forces parliament to debate it.

In a move premier Marin called “historic,” Finland announced it is offering Ukraine weapons. “Finland staunchly supports Ukrainian independence and sovereignty. Finland will offer weapons to Ukraine and the aid will be delivered quickly. This decision will not endanger national defense,” Marin said.

Source: Politico
 
jamaa alidhani kuvamia Ukraine ndio atatisha nchi nyingine kujiunga na NATO, ila imekuwa kinyume chake
 
jamaa alidhani kuvamia Ukraine ndio atatisha nchi nyingine kujiunga na NATO, ila imekuwa kinyume chake
Tatizo nato wenyewe wanashukuru ukraine kutokuwa mwana chama wao maana wange umia vitani kwani ,wewe ujiulizi kwani nato aiwezi kuingia vitani hadi mwanachama wao ashambuliwe mbona libya walikwenda na nchi ngingi kuzipiga pasipo mwanachama wao kushambuliwa ukweli upo wazi nato na usa wana ogopa vita na urusi,sasa hapo hiyo nchi haiwezi kukubaliwa kuingia NATO NA WANANATO
 
Mrusi ana historia mbaya ya kivita kwa Finland.
 
Tofauti ya marekani na Urusi ni kwamba marekani akivamia nchi hawekewi vikwazo ila Urusi akivamia vikwazo Kama vyote mpaka FIFA wamemsinamisha uanachama na UEFA pia.
Ndo hapo inapojulikana nani SUPERPOWER na nani kapagawa kwa kifupi bosi hanuniwi russia hana hela za kujitanua na kushawishi nchi nyingine kama ilivyo US, UK, Japan, Canada ndiyo maana eastern Europeans countries nyingi hazina time naye na hilo linamuuma kama nini so anabaki kulazimisha ushawishi kwa kutumia nguvu, mikwara na vitisho.

russians kwa sasa wananuka huko western countries maana wanaonekana ni watu wa hovyo hovyo na wanaongozwa na kiongozi wa hovyo hovyo. Kwa vikwazo vinavyoendelea na maoligarch yalivyo na tamaa ya kuendelea kushika mali ni suala la muda tu putin atang'oka either kwa kung'atuka alinde heshima yake na kuiepusha nchi na kibano cha uchumi au kwa shinikizo la wananchi ambao hawatokubali mwehu mmoja aendelee kuwaharibia maisha yao.

Huu ni msimu mpya dunia inapita yapo mengi yaja.
 
Back
Top Bottom