roadmaster
JF-Expert Member
- Mar 21, 2023
- 1,609
- 2,751
By 2028 urusi atakuwa mwanachama wa NATO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanaishiaga njiani urusi kina kirefu mzeeMipango ya muda mrefu kuidhoofisha urusi... Pembeni kote anazungukwa
angalia hiyo list ambayo URUSI alifanya ubabe afu uniambie kama urusi anashindwa kuivamia UFINI
muoneshe hiuo list aone kama URUSI haina uwezo wa kuibonda finlandBangi kivipi, safari NATO imeingia choo jike, lazima mpigwe na nukes za kutosha.
Zama hubadilika, USSR ya zama hizo siyo Russia ya sasa. Ukraine na visilaha vya kuokoteza anamsumbua kiasi hiki.angalia hiyo list ambayo URUSI alifanya ubabe afu uniambie kama urusi anashindwa kuivamia UFINI
alishaipiga karibu mara mbili...View attachment 2675133
Poland kwa sasa mshachelewa akaota pembe. Poland anahitaji msaada kidogo sana siyo kushinda tu, bali kuteka hata maeneo ya Urusi.Nato hawana lolote ngojea tumalize Ukraine afu tutamfata Poland afu badaye Finland
we nae usiwe kama mwehu sasa kama urusi enzi hizo alikuwa mtata zama hizo sasa hivi si ndio atakuwa balaa kwa sababu anajua maadui zake ni wale wale wa zama hizo .. angalia hapo chini nani anaongoza kuwa na silaha hatari duniani kwa mwaka 2022 haya niambie kwa silaha alizonazo mrusi huyo FINLAND ndio mdudu gani ....? bruhh uko seriouz kweli [emoji41][emoji41]Zama hubadilika, USSR ya zama hizo siyo Russia ya sasa. Ukraine na visilaha vya kuokoteza anamsumbua kiasi hiki.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Okay. Hata sisi tulimtandika Ostaz Idd Amin.kwani RUSSIA anashindwa kuivamia FINLAND na sio mara ya kwanza waliwahi kupigwa mara mbili kwa nyakati tofauti..na kipande cha ardhi kikamegwa.
angalia hiyo list ya nchi ambayo urrusi keshazipiga finland ipoView attachment 2675128
yeah sasa kama tulimtandika nduli kipindi kile leo wata weza mziki wa bongoOkay. Hata sisi tulimtandika Ostaz Idd Amin.
Ngoja tumalizane na Bandari tukamtandike Mrusiyeah sasa kama tulimtandika nduli kipindi kile leo wata weza mziki wa bongo
mkuu tafuta ugali watoto waende chooni hayo mengine yako nje ya uwezo wako .....Ngoja tumalizane na Bandari tukamtandike Mrusi
[emoji23][emoji23] sijui labda tukatafute umbea huko afu tuulete hapa....Vp kashajiunga au [emoji23][emoji23]
Hapo kwa Ethiopia Big Nokwani RUSSIA anashindwa kuivamia FINLAND na sio mara ya kwanza waliwahi kupigwa mara mbili kwa nyakati tofauti..na kipande cha ardhi kikamegwa.
angalia hiyo list ya nchi ambayo urrusi keshazipiga finland ipoView attachment 2675128