Finland kuwa mwanachama rasmi wa NATO kesho Aprili 4, 2023

Nato hawana lolote ngojea tumalize Ukraine afu tutamfata Poland afu badaye Finland
 
Zama hubadilika, USSR ya zama hizo siyo Russia ya sasa. Ukraine na visilaha vya kuokoteza anamsumbua kiasi hiki.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
we nae usiwe kama mwehu sasa kama urusi enzi hizo alikuwa mtata zama hizo sasa hivi si ndio atakuwa balaa kwa sababu anajua maadui zake ni wale wale wa zama hizo .. angalia hapo chini nani anaongoza kuwa na silaha hatari duniani kwa mwaka 2022 haya niambie kwa silaha alizonazo mrusi huyo FINLAND ndio mdudu gani ....? bruhh uko seriouz kweli [emoji41][emoji41]
...[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 2675412
na huyo ukreini anachapwa kiutoto utoto ukitaka kuona mrusi anaingia vitani basi hao NATO waingie wao kama wao ndio utajua mrusi ni kina kirefu ...mzee
 
Vp kashajiunga au [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…