mondi mwanzoni sikumuelewa,ila kadri anavoamka anakuwa mkali zaidi.hii fire hii imeanza kunishawishi kwamba huyu mondi sio wa level hizi za kwetu,ukweli dogo ni mtu mkubwa sana kwenye muziki afrika.tazama vijana anaowachukua,wanabadilika kabisa hata maisha yao achilia mbali kimuziki ambako wanafanya vizuri pia. mimi binafsi sio msanii naemuelewa sana hata kibakuli nae,lakini uweli usemwe tu dogo anafanikiwa sanaa!kinachobaki ni wivu tu wabongo.kama humuelewi badoi huyu mtu,replay hii fire sikiliza verse ya kwanza then utaelewa huyu dogo hiyo melody aliyotumia kiasi inakuimbisha bila kupenda.angalia video ona tiwa savage mwenyewe kama mda flani alikuwa anamshangaa dogo anavoteleza hivi!!!!!...huyu mtu hakwepeki jamani....kama usipoipenda nyimbo basi mdundo,kama sio hivo kuna vimaneno atakuimbisha tu.mimi kanifurahisha pale anakwambia " Tangaa kunani! vurugu mechi mkwakwani!!!".