Fire ya diamond ft tiwa savage inazidi kukimbiza tofauti na matarajio ya wengi

Fire ya diamond ft tiwa savage inazidi kukimbiza tofauti na matarajio ya wengi

[emoji91] [emoji91] [emoji91] W C B[emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Itakua kuna saa anajisahau yeye ni team nyingine
Ahahaaaa yani huyu haeleweki kama mkia wa mbuzi mara kulia mara kushoto [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mondi mwanzoni sikumuelewa,ila kadri anavoamka anakuwa mkali zaidi.hii fire hii imeanza kunishawishi kwamba huyu mondi sio wa level hizi za kwetu,ukweli dogo ni mtu mkubwa sana kwenye muziki afrika.tazama vijana anaowachukua,wanabadilika kabisa hata maisha yao achilia mbali kimuziki ambako wanafanya vizuri pia. mimi binafsi sio msanii naemuelewa sana hata kibakuli nae,lakini uweli usemwe tu dogo anafanikiwa sanaa!kinachobaki ni wivu tu wabongo.kama humuelewi badoi huyu mtu,replay hii fire sikiliza verse ya kwanza then utaelewa huyu dogo hiyo melody aliyotumia kiasi inakuimbisha bila kupenda.angalia video ona tiwa savage mwenyewe kama mda flani alikuwa anamshangaa dogo anavoteleza hivi!!!!!...huyu mtu hakwepeki jamani....kama usipoipenda nyimbo basi mdundo,kama sio hivo kuna vimaneno atakuimbisha tu.mimi kanifurahisha pale anakwambia " Tangaa kunani! vurugu mechi mkwakwani!!!".
 
Frankly speaking ule wimbo sijauelewa hata kidogo but i miss u nimeupenda mnoo kila siku lazma niucheki u tube bonge moja la ngoma na ile cheza yao pale relini bingili bingili bayoyoo......safi sana!
 
FIRE ni nzuri ila I MISS U ni nzuri zaidi asee
True.
Mondi anapotoa ngoma Mbili kwa mpigo moja huwa inakimbiza Zaidi.
First time alitoa "Nataka kulewa" na "kesho". Kesho ikakimbiza hatariiiii.

This Time katoa "Fire" na "I miss you" na ninatumai I miss you itafanya vizuri zaidiiiii.

Pig up Mond Bin Laden.
Mimi Napenda mziki wako sijui wengine Kama wanapenda Kama Mimi.
 
CORRECTION: Nataka kulewa na Kesho hazikutoka pamoja, Mdogomdogo na Bumbum ndio zilitoka pamoja
 
Sawa Zari tumekusikia ila mwambie mzazi mwenzio mfanye Kiki mpya maana ile ya Swimming pol haijawasaidia chochote
 
Back
Top Bottom