Fireboy DML, Mfalme mpya wa muziki Afrika

Fireboy DML, Mfalme mpya wa muziki Afrika

George Betram

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
4,672
Reaction score
6,272
Muziki wa Nigeria una ushindani mkubwa sana, vijana kama Omah Lay, Joe Boy na Fireboy DML wanafanya kazi nzuri sana. Lakini mtu ambaye amebahatika kuteka hisia zangu zaidi ni huyu Fireboy DML, huyu jamaa anatisha sana.

Nimebahatika kusikiliza albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la APPOLO, hii albamu haina wimbo mbaya, yaani humo ndani nyimbo zote ni kali. Nathubutu kusema huyu kijana ndiye mfalme mpya wa muziki Afrika. Kwa kijana huyu Olamide ameibua kipaji kikubwa sana.
 
Made the same prediction first time i heard his song Vibration", that he's the guy to move an African music to the dobting ears of the world, beyond WizKid, Burnas, and Davidos.
 
Made the same prediction first time i heard his song Vibration", that he's the guy to move an African music to the dobting ears of the world, beyond WizKid, Burnas, and Davidos.
Yupo vizuri sana.
 
Ateke hisia zako wewe binafsi na bado utulazimishe hisia zako za kuwa yeye ndio mfalme wa muziki Afrika 🤣🤣🤣😂😂😂

Jisemee wewe kama wewe, sio unatupanga na sisi kwa hisia zako tuamini huyo ndio mfalme...

Legend wa muziki Africa wanakuangalia tu...
 
Yupo vizuri sana, ila bado hajawa ktk level uliyosemea.
 
Duuh!! Mkuu Hii promo Ungewapa Wasanii wa Nyumbni Tungefika Mbali Sana kimziki
 
Mkuu iyo Album nimeisikiliza Yote ila kiukweli Amna ngoma kali zote Zakawaida sana
 
Ateke hisia zako wewe binafsi na bado utulazimishe hisia zako za kuwa yeye ndio mfalme wa muziki Afrika 🤣🤣🤣😂😂😂

Jisemee wewe kama wewe, sio unatupanga na sisi kwa hisia zako tuamini huyo ndio mfalme...

Legend wa muziki Africa wanakuangalia tu...
Hujui muziki kaa kimya Jose.
Fireboy ni habari nyingine japo melody zake ni kama Joe boy!
 
Kitu cha new york city girl kwa sasa nakielewa baada ya energy na vibration
 
siwezi kukaa kimya kwa kufungwa na fikra zako unazotaka wote tuamini kama wewe..
Umekosea kumuita jamaa mfalme wa muziki Africa...
Hakuna idara yenye zamana ya kumpa mtu ufalme wa Muziki.

Kwa kipaji alichonacho DML kwa ubunifu na uimbaji wake anastahili kuitwa hivyo anabadilika anavyotaka.

Changamoto aliyo nayo mpaka sasa ni consistency na ana washindani wengi, mleta mada amechemke jambo moja tu kusema ni mfalme wa muziki wa aina gani basi.
 
Mfalme anayetarajiwa ni Kondeboy mjeshi. Yeye ni mwanamziki bora duniani na namba moja africa. Povu ruksa
 
Ateke hisia zako wewe binafsi na bado utulazimishe hisia zako za kuwa yeye ndio mfalme wa muziki Afrika 🤣🤣🤣😂😂😂

Jisemee wewe kama wewe, sio unatupanga na sisi kwa hisia zako tuamini huyo ndio mfalme...

Legend wa muziki Africa wanakuangalia tu...
Ahahaaaah!
Tusameheane mkongwe, ila Fireboy ni mtu noma sana aisee!
 
Back
Top Bottom