George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Yupo vizuri sana.Made the same prediction first time i heard his song Vibration", that he's the guy to move an African music to the dobting ears of the world, beyond WizKid, Burnas, and Davidos.
Hujui muziki kaa kimya Jose.Ateke hisia zako wewe binafsi na bado utulazimishe hisia zako za kuwa yeye ndio mfalme wa muziki Afrika π€£π€£π€£πππ
Jisemee wewe kama wewe, sio unatupanga na sisi kwa hisia zako tuamini huyo ndio mfalme...
Legend wa muziki Africa wanakuangalia tu...
siwezi kukaa kimya kwa kufungwa na fikra zako unazotaka wote tuamini kama wewe..Hujui muziki kaa kimya Jose.
Fireboy ni habari nyingine japo melody zake ni kama Joe boy!
Hakuna idara yenye zamana ya kumpa mtu ufalme wa Muziki.siwezi kukaa kimya kwa kufungwa na fikra zako unazotaka wote tuamini kama wewe..
Umekosea kumuita jamaa mfalme wa muziki Africa...
Aiseee mwenyewe new york city girl nauelewa hata umetuliaKitu cha new york city girl kwa sasa nakielewa baada ya energy na vibration
Toa upimbi hapaMfalme anayetarajiwa ni Kondeboy mjeshi. Yeye ni mwanamziki bora duniani na namba moja africa. Povu ruksa
Ahahaaaah!Ateke hisia zako wewe binafsi na bado utulazimishe hisia zako za kuwa yeye ndio mfalme wa muziki Afrika π€£π€£π€£πππ
Jisemee wewe kama wewe, sio unatupanga na sisi kwa hisia zako tuamini huyo ndio mfalme...
Legend wa muziki Africa wanakuangalia tu...
Mkuu mbona kama unatufokea sasa,Hujui muziki kaa kimya Jose.
Fireboy ni habari nyingine japo melody zake ni kama Joe boy!