Kutokana na kudolola kwa uchumi nchini Kenya wawekezaji wamekuwa wakienda kwenye nchi za Uganda na Tanzania kutokana naugumu wamuda mrefu wa uchumi nchini Kenya. Pia hili limeonekana likilalamikiwa na wakenya nakuzua mjadala kwenye vyombo vyahabari nchini. Swali nije tatizo nini? Au ndokusema utawala mbovu?? Kiukweli hii inasikitisha sana kwandugu zetu wakenya.