Firms are relocating from Kenya to neighbouring Tanzania, Ethiopia and Uganda

Naona unapoteza muda mwingi kufuata blogs za upinzani Kenya hata taarifa za zamani zinakupa nyege. Sasa na mimi nikianza kushusha hapa bandiko za Watanzania wanaolalamika kwenye nchi yao si utakimbia???

Kwa kuanzia nakupa chache hapa lakini ukiendelea kujitoa ufahamu nitazifuata zote na kuzileta humu
Hii hapa mnaokopa hela SA tayari wanalia hawana hela, hivyo mtafute kwengine za kujengea reli
Tulijiabisha kuipigia magoti A. Kusini itukopeshe kujenga reli ya kasi

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Mjadala: Serikali ya Tanzania kuchukiwa na idadi kubwa ya vijana wake. Tatizo la msingi ni nini?
Una maoni gani about our new hydropower plant stiglers gorge which will be producing over 2100 khwz starting implementation with our own money very soon?
 
Sina la kusema maana keywords kwenye siku hizi 'very soon', mlituimbisha wimbo wa Bagamoyo port na hiyo 'very soon' yenu hatimaye mkaja kupiga chenga moja ya moto.
Leo hii mnatumabia electric train to Dodoma very soon, ghafla tunaskia mnamfuata Zuma awataftie hela, wakati na yeye amekumbwa na matatizo lukuki. Sasa hizo 'very soon' zenu hadi tuzione, hatuwezi kuwa na maoni.
 
Naona unapoteza muda mwingi kufuata blogs za upinzani Kenya hata taarifa za zamani zinakupa nyege. Sasa na mimi nikianza kushusha hapa bandiko za Watanzania wanaolalamika kwenye nchi yao si utakimbia???

Kwa kuanzia nakupa chache hapa lakini ukiendelea kujitoa ufahamu nitazifuata zote na kuzileta humu
Hii hapa mnaokopa hela SA tayari wanalia hawana hela, hivyo mtafute kwengine za kujengea reli
Tulijiabisha kuipigia magoti A. Kusini itukopeshe kujenga reli ya kasi

Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

Mjadala: Serikali ya Tanzania kuchukiwa na idadi kubwa ya vijana wake. Tatizo la msingi ni nini?

Kaka uko nje ya maada, na mapovu kibao, hayo uliyoyaandika ya kuhusu Tanzania wala hakuna atakaye kupinga, hoja hapa ni hilo la wawekezaji kuanza kuikimbia nchi "yenyu"
 
Ujenzi wa electric train mbona umeshaanza na tayari mafundi wapo site usifikiri ujenzi wa electric train ni kama ujenzi wa choo
 
Sina la kusema maana keywords kwenye siku hizi 'very soon', mlituimbisha wimbo wa Bagamoyo port na hiyo 'very soon' yenu hatimaye mkaja kupiga chenga moja ya moto.
Leo hii mnatumabia electric train to Dodoma very soon, ghafla tunaskia mnamfuata Zuma awataftie hela, wakati na yeye amekumbwa na matatizo lukuki. Sasa hizo 'very soon' zenu hadi tuzione, hatuwezi kuwa na maoni.
Check hatua zinazoendelea kwenye ujenzi wetu sio kama ile mitungi yenu train yetu ipo complicated ina very long underground tunnels, kutakua na long train bridges to suit the high speed of the train, kutakua na many pedestrian, cars and animal bridges either under the railways or over so don't take it simple
 
Kaka uko nje ya maada, na mapovu kibao, hayo uliyoyaandika ya kuhusu Tanzania wala hakuna atakaye kupinga, hoja hapa ni hilo la wawekezaji kuanza kuikimbia nchi "yenyu"
Hizo ni propaganda za upinzani hamna ukweli wowote. Wapi dhibitisho ya kwamba wawekezaji wanatoka Kenya na kuenda nchi jirani. Ni upuzzy mtupu kuamini maoni potovu ya huyo jamaa ambaye hawa wakenya wenzagu hapa wanasema ati ni "blogger", lakini mimi msimjui.

Soma hapa, ripoti ya EY...hizi ndizo sources za kuaminika.

Kenya still a favourite for foreign investors, EY says

Sent from my Noir- Z8 using JamiiForums mobile app
 
Check hatua zinazoendelea kwenye ujenzi wetu sio kama ile mitungi yenu train yetu ipo complicated ina very long underground tunnels, kutakua na long train bridges to suit the high speed of the train, kutakua na many pedestrian, cars and animal bridges either under the railways or over so don't take it simple

Hayo ya usanifu tuliyaskia sana kipindi cha Bagamoyo, tuliambiwa ujenzi wa bandari sio kama kujenga choo hivyo lazima utaratibu fulani ufuatwe, tukakomeshwa na vijimaneno humu, nyuzi za mapicha na video balaa. Hatimaye leo ni mengine.
Haya natumai hamtaishia kutupiga chenga la macho tena.
 
Now we have the walker of his talk Usikariri
 
Hizo zote za kawaida sana lakini hii yakuhusisha nchi za EA imegusa pahara lake nakuona ikitafuta nyingine

Back
Top Bottom