First 11 bora ya dunia toka 1998 hadi sasa

Hasmoir

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
350
Reaction score
381
Hii ni orodha yangu ya wachezaji 11 bora wa dunia toka mwaka 1998 hadi sasa.Nimeamua kuanzia mwaka huo kwa sababu ndio kipindi nilianza kufuatilia soka, wachezaji hawa wote nimewaona kupitia luninga katika mechi mbalimbali za klabu pamoja na timu za taifa.

Kikosi hiki ni kwa mujibu wa muono wangu, kwa hiyo si ajabu kwa yeyote kuwa tofauti na mimi.Nakaribisha maoni mbalimbali.
Nimekiweka kikosi katika mfumo wa 4-2-3-1.kikosi kipo kama ifuatavyo;

Cassilas(GK)

Cafu
Maldin
Van Dijk
R.Carlos

Gerrard
Zidane

C.Ronaldo
Ronaldinho
L.Messi

Ronaldo de Lima
 
toa cassilas weka van der sar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…