Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekikubali kipo vizuri ila tatizo ni beki wa kushoto sijamuona hapoKikosi changu ni hiki katika mfumo wa 4-3-3
Iker Casillas
Cafu, Ramos, Nesta, Maldini
Zidane, Gerrard, Iniesta
Messi, Ronaldo de lima, Cr7
Kocha: Pep Guardiola
Msaidizi: Carlo Ancelloti
umeua mkuuBuffoni
Dan Alves
Paulo Maldini
Sergio Ramos
Marcelo
Iniesta
Xavi Hernandez
Zidane
CR7
Leonel Messi
Gaucho
Paolo Cesare Maldini.Nimekikubali kipo vizuri ila tatizo ni beki wa kushoto sijamuona hapo
Wote ni wachezaji wa kiwango cha dunia lakini unapohitaji wachezaji 11 lazima kuna wazuri kama hao utawaacha, mfano huwezi kumuacha Ronaldo de lima ukamuweka HenryUnamjua Thiery Henry wewe?
Viera je?
Rivaldo?
Louis Figo?
Dennis Bergkamp?
Samwel Eto'o?
Patrick Kluivert?
Cannavaro?
Toa Gerrad weka sergio b master of disguess passesHii ni orodha yangu ya wachezaji 11 bora wa dunia toka mwaka 1998 hadi sasa.Nimeamua kuanzia mwaka huo kwa sababu ndio kipindi nilianza kufuatilia soka, wachezaji hawa wote nimewaona kupitia luninga katika mechi mbalimbali za klabu pamoja na timu za taifa.
Kikosi hiki ni kwa mujibu wa muono wangu, kwa hiyo si ajabu kwa yeyote kuwa tofauti na mimi.Nakaribisha maoni mbalimbali.
Nimekiweka kikosi katika mfumo wa 4-2-3-1.kikosi kipo kama ifuatavyo;
Cassilas(GK)
Cafu
Maldin
Van Dijk
R.Carlos
Gerrard
Zidane
C.Ronaldo
Ronaldinho
L.Messi
Ronaldo de Lima
Unachekesha wewe.Hii ni orodha yangu ya wachezaji 11 bora wa dunia toka mwaka 1998 hadi sasa.Nimeamua kuanzia mwaka huo kwa sababu ndio kipindi nilianza kufuatilia soka, wachezaji hawa wote nimewaona kupitia luninga katika mechi mbalimbali za klabu pamoja na timu za taifa.
Kikosi hiki ni kwa mujibu wa muono wangu, kwa hiyo si ajabu kwa yeyote kuwa tofauti na mimi.Nakaribisha maoni mbalimbali.
Nimekiweka kikosi katika mfumo wa 4-2-3-1.kikosi kipo kama ifuatavyo;
Cassilas(GK)
Cafu
Maldin
Van Dijk
R.Carlos
Gerrard
Zidane
C.Ronaldo
Ronaldinho
L.Messi
Ronaldo de Lima
Bila Kagere humo timu Mikia FC hawatakuelewa.Hii ni orodha yangu ya wachezaji 11 bora wa dunia toka mwaka 1998 hadi sasa.Nimeamua kuanzia mwaka huo kwa sababu ndio kipindi nilianza kufuatilia soka, wachezaji hawa wote nimewaona kupitia luninga katika mechi mbalimbali za klabu pamoja na timu za taifa.
Kikosi hiki ni kwa mujibu wa muono wangu, kwa hiyo si ajabu kwa yeyote kuwa tofauti na mimi.Nakaribisha maoni mbalimbali.
Nimekiweka kikosi katika mfumo wa 4-2-3-1.kikosi kipo kama ifuatavyo;
Cassilas(GK)
Cafu
Maldin
Van Dijk
R.Carlos
Gerrard
Zidane
C.Ronaldo
Ronaldinho
L.Messi
Ronaldo de Lima
C RONALDO [emoji777]Hii ni orodha yangu ya wachezaji 11 bora wa dunia toka mwaka 1998 hadi sasa.Nimeamua kuanzia mwaka huo kwa sababu ndio kipindi nilianza kufuatilia soka, wachezaji hawa wote nimewaona kupitia luninga katika mechi mbalimbali za klabu pamoja na timu za taifa.
Kikosi hiki ni kwa mujibu wa muono wangu, kwa hiyo si ajabu kwa yeyote kuwa tofauti na mimi.Nakaribisha maoni mbalimbali.
Nimekiweka kikosi katika mfumo wa 4-2-3-1.kikosi kipo kama ifuatavyo;
Cassilas(GK)
Cafu
Maldin
Van Dijk
R.Carlos
Gerrard
Zidane
C.Ronaldo
Ronaldinho
L.Messi
Ronaldo de Lima
Buffoni[emoji736]
Dan Alves [emoji777] salgado [emoji736]
Paulo Maldini[emoji736]
Sergio Ramos [emoji777] NESTA [emoji736]
Marcelo[emoji777] R CARLOS [emoji736]
Iniesta[emoji777] REDONDO [emoji736]
Xavi Hernandez[emoji777] OKOCHA [emoji736]
Zidane[emoji736]
CR7[emoji777] ORTEGA
Leonel Messi[emoji736]
GAUCHO[emoji777] BATISTUTA [emoji736]
Hao nilioweka [emoji777] kama kuna wachezaji wa akiba watatumika hao!!
Weeeee van der sar ana fit vizuri kabisa yule ni kipa hatari though hata buffon ni hatari piaKwa van der sar hapana labda Buffon
Kama Mesi anaondoka na kijiji basi the last true prophet of football- Gaucho itakuwa anaondoka na nchi.
Chuki haijengi hata wasafi wakijenga masakiNafurahi mkinitajia cr7 mnyama siyo kale kafupi
Naona mnawasahau sana nyoni na yondaniManuel Nuer
Sergio Ramos
Dani Alves
V.Dijk
Pepe
Xavi
Makelele
Luca Modric
L.Messi
Ronaldo De lima
C.Ronaldo