First 11 bora ya dunia toka 1998 hadi sasa

Kikosi changu ni hiki katika mfumo wa 4-3-3

Iker Casillas

Cafu, Ramos, Nesta, Maldini

Zidane, Gerrard, Iniesta

Messi, Ronaldo de lima, Cr7

Kocha: Pep Guardiola
Msaidizi: Carlo Ancelloti
Nimekikubali kipo vizuri ila tatizo ni beki wa kushoto sijamuona hapo
 
Unamjua Thiery Henry wewe?
Viera je?
Rivaldo?
Louis Figo?
Dennis Bergkamp?
Samwel Eto'o?
Patrick Kluivert?
Cannavaro?
 
Unamjua Thiery Henry wewe?
Viera je?
Rivaldo?
Louis Figo?
Dennis Bergkamp?
Samwel Eto'o?
Patrick Kluivert?
Cannavaro?
Wote ni wachezaji wa kiwango cha dunia lakini unapohitaji wachezaji 11 lazima kuna wazuri kama hao utawaacha, mfano huwezi kumuacha Ronaldo de lima ukamuweka Henry
 
Hii ni orodha yangu ya wachezaji 11 bora wa dunia toka mwaka 1998 hadi sasa.Nimeamua kuanzia mwaka huo kwa sababu ndio kipindi nilianza kufuatilia soka, wachezaji hawa wote nimewaona kupitia luninga katika mechi mbalimbali za klabu pamoja na timu za taifa.

Kikosi hiki ni kwa mujibu wa muono wangu, kwa hiyo si ajabu kwa yeyote kuwa tofauti na mimi.Nakaribisha maoni mbalimbali.
Nimekiweka kikosi katika mfumo wa 4-2-3-1.kikosi kipo kama ifuatavyo;

Cassilas(GK)

Cafu
Maldin
Van Dijk
R.Carlos

Gerrard
Zidane

C.Ronaldo
Ronaldinho
L.Messi

Ronaldo de Lima
Toa Gerrad weka sergio b master of disguess passes
 
Unachekesha wewe.
 
Bi

Bila Kagere humo timu Mikia FC hawatakuelewa.
 
C RONALDO [emoji777]

ARIEL ORTEGA[emoji736] kwa mashambulizi upande wa kulia!
 
Buffoni[emoji736]

Dan Alves [emoji777] salgado [emoji736]
Paulo Maldini[emoji736]
Sergio Ramos [emoji777] NESTA [emoji736]
Marcelo[emoji777] R CARLOS [emoji736]

Iniesta[emoji777] REDONDO [emoji736]
Xavi Hernandez[emoji777] OKOCHA [emoji736]
Zidane[emoji736]

CR7[emoji777] ORTEGA
Leonel Messi[emoji736]
GAUCHO[emoji777] BATISTUTA [emoji736]

Hao nilioweka [emoji777] kama kuna wachezaji wa akiba watatumika hao!!
 
Buffon
Cafu nesta cannavaro r.carlos
C. Ronaldo makelele zidane messi
Ronaldo gaucho
 
Back
Top Bottom