First African to be awarded Chinese highest hononr "medal of Friendship"

Urais wa Tanzania 1985 ni siasa za visiwani za Upemba na Uunguja zilimkosesha!
Naelewa hilo la siasa za Hizbu ila nilikuwa nawaza tuu (nje ya boksi) kuwa inawezekana wale jamaa zake walimfanyia zengwe, ila wakaficha (kitaalam) ionekane ni wazanzibari wenzake.
 
Sijui hilo
 
Tanzania kuuliza kabila la mtu ni kosa la kiahini, "Treason ". Tafadhali sana futa swali lako na uombe msamaha.
La hasha. Mimi sio Mtanzania na sioni kosa la kuuliza asili ya huyo mtu. Lakini wacha yaishe maana Wabantu kama wewe mnapenda siasa sana.
 
Lakini hilo kosa umelifanya katika ardhi ya Tanzania, kwahiyo sheria za Tanzania ndizo zinazotumika kukuadhibu. Tafadhali sana futa swali lako na uombe msamaha haraka sana kabla ya kuchukuliwa atua Kali zaidi, ikiwemo kupigwa "ban" ya mwezi mmoja.
 
La hasha. Mimi sio Mtanzania na sioni kosa la kuuliza asili ya huyo mtu. Lakini wacha yaishe maana Wabantu kama wewe mnapenda siasa sana.
Una ufala kuuliza Kama mwarabu wakati kuna Watanzania wenye asili ya Uarabu wengi tu! Mbona huulizi rangi ya CEO wa Safaricom au wakina Leakey?
 
Back
Top Bottom