lolyz
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 339
- 199
Tasia1 huyo huwezi sema ulimpenda kimapenzi sababu ulijikuta tu unampenda labda kuna kitu kati yenu mchunguze unaweza kuta hata ni ndugu yako...so far mimi niliwahi penda long time ago (first love) ila niligundua he was very wrong for me ila nilikuja msahau na sijawahi mkumbuka kwa kumtamani eti angekuwa hubby.tukija kwako hiyo ni natural love na si mapenzi ya mke ..utaja ona siku zijazo