Jamani hakuna kama penzi la kwanza hata waje 100 yule wa kwanza ndio anaekufunza maji usiite mma bwana,hiyo ipo haijalishi mliachana vp,na hukumbuki visa vyake bali unakumbuka alivyo kuingiza kwenye ulimwengu wa Mapenzi kwa mara ya kwanza mpaka sasa ukawa mwalimu....
Hamna kupendana sikuhizi,tunahifadhiana na kusaidiana huduma za kimwili tu nani amewaloga nyie kuna mapenzi now days ni kuviziana tu kwenye mioyo.