February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Greerings Earthlings,
Nimefanya research ndogo isiyo rasmi nikagundua haya
First borns
*Wachapakazi
*Providers kwa familia (wakifanikiwa)
*Wana exposure kubwa sana kwasababu wanajituma
*Sio ombaomba au wategemezi hata wakiwa na shida
*Wengi huwa na mafanikio makubwa kwenye familia
*Wanauwezo wa kujibana matumizi wasipokuwa nacho
ubaya wao
*wengi wana jeuri na kuona wengine hawajui vitu kama wao
*Wanataka wawe juu kwahyo hufanya kila mbinu wategemewe na familia
*hudharau hata wazazi wakiwazidi mafanikio (esp. wa kiume kumdharau baba)
Last borns
*wana upendo na heshima
*hawadharau hata wakifanikiwa(esp. kwa mama)
*wanapenda kufanikiwa ili wawasaidie wazazi na wakubwa
ubaya wao
*Wavivu sana
*hawajui kujibana matumizi
*wanatabia za kutegemea sana vya ndugu
*wamezoea urahisi wa maisha unawadumaza
Hawa wa kati kati tabia zao Zina range humo kati kati
Prove me wrong