First borns Vs Last borns

First borns Vs Last borns

Wachache tu ndo wanauvivu mtu si u first born au u last born!. Mtu ni saikolojia japo natambua hizo nafasi zinaweza kuhamasisha tabia ya mtu lkn si kivilee.. last born tupo vizuri kwanza tunavichwa vizuri I mean smart enough kushinda first born..😜
Halafu nyie first born waonevu sana mkiachwa mtuangalie hata mtu ukila ka pera utashangaa ushatiwa konzi..😂 nafikiri unaasili ya yule chibonge mamwiko..😂
😂😂😂😂😂 nicheke tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]msamehe bure .
Somehow wanawaonea .

Ndio shida ya haya maneno yanayozuka kuhusu watu fulani maana wengine hatupo hvyo lakini kwa sababu ndio ishakuwa hvyo tunajumuishwa. Alafu mambo mengne unaweza fanya kama watu wengine kawaida lakin kwa sababu mtu ana mentality yake basi anakuchukulia ni kwa sababu ya ulast born etc
 
Wachache tu ndo wanauvivu mtu si u first born au u last born!. Mtu ni saikolojia japo natambua hizo nafasi zinaweza kuhamasisha tabia ya mtu lkn si kivilee.. last born tupo vizuri kwanza tunavichwa vizuri I mean smart enough kushinda first born..[emoji12]
Halafu nyie first born waonevu sana mkiachwa mtuangalie hata mtu ukila ka pera utashangaa ushatiwa konzi..[emoji23] nafikiri unaasili ya yule chibonge mamwiko..[emoji23]

First born wana dharau japo sio wote, me nakumbuka niliwai ambiwa na first born (hatujapishana sana umri), alisema piga ua lazima utaniomba nikutumie hela wewe huna ujanja mimi ni mkubwa kwako kwa kila kitu but kwa bahati nzuri sikuwahi kufanya hivyo na sasa mimi ndio namboost kiasi fulani [emoji38][emoji23][emoji23] kutangulia sio kufika huo ufirst born ni dhamana tu kama ilivyo sisiem na serikali yake.
 
Wachache tu ndo wanauvivu mtu si u first born au u last born!. Mtu ni saikolojia japo natambua hizo nafasi zinaweza kuhamasisha tabia ya mtu lkn si kivilee.. last born tupo vizuri kwanza tunavichwa vizuri I mean smart enough kushinda first born..😜
Halafu nyie first born waonevu sana mkiachwa mtuangalie hata mtu ukila ka pera utashangaa ushatiwa konzi..😂 nafikiri unaasili ya yule chibonge mamwiko..😂
Hapo kwenye usmart naunga mkono hoja last born wetu yupo vyema kichwani kuliko hata bro wake..ingawa first naye yupo vizuri(dada)..😂😂 alafu Mimi sipo kwenye first Mimi ni wa tatu..mgombelezea ugomvi wa first na last maana mkianza kuvimbiana nyie..tafarani
 
First born wana dharau japo sio wote, me nakumbuka niliwai ambiwa na first born (hatujapishana sana umri), alisema piga ua lazima utaniomba nikutumie hela wewe huna ujanja mimi ni mkubwa kwako kwa kila kitu but kwa bahati nzuri sikuwahi kufanya hivyo na sasa mimi ndio namboost kiasi fulani [emoji38][emoji23][emoji23] kutangulia sio kufika huo ufirst born ni dhamana tu kama ilivyo sisiem na serikali yake.
😂😂😂
 
Hapo kwenye usmart naunga mkono hoja last born wetu yupo vyema kichwani kuliko hata bro wake..ingawa first naye yupo vizuri(dada)..😂😂 alafu Mimi sipo kwenye first Mimi ni wa tatu..mgombelezea ugomvi wa first na last maana mkianza kuvimbiana nyie..tafarani
Ndio maana nikaandika hapa coz I know.. nyie wakatikati huwa mpo natural ila mkizidi huwa mnazidi kweli.. ukikuta mkorofi ni korofi haswa na ukikuta mpole ni mpole kweli.. kwetu last na first tumetulia hatuna hiana ila hizi njemba za katikati..😅 korofi,hazisikii,mabaunsa wao.. Hawa Kuna muda wanakutetea na Kuna muda wanatia nakozi mpk unakimbilia kwenye uvungu wa kitanda..😂
 
[emoji38][emoji23][emoji23] huwa natamani nimkumbushie hili ila ni vile last born tuna huruma.
Mkuu hawa first wanajiona matawi sana ila pia huwa nawahurumia sometimes maana majukumu huachiwa wao na unakuta mimtu mikorofi kuikontro tabu sana.. wengine hujitoa kwelikweli kutetea familia na ukileta za kuleta unaafabishwa vilivyo.. last born sometimes tunazingua maana huwa tunajua mazeli au fazeli yupo hivyo Kinga ipo.. Kuna siku utotoni nililishwa mkong'oto na bro nilikoma komamanga wa watu..😂

Yote kwa yote kila mtu aishi kwa utambuzi yakinifu
 
Mm ni last born,
Ni mvivu, careless, sijui kujibana aisee, nikipata pesa ni kutumbua tu.
Ila sina wa kumtegemea nakomaa mwenyewe kibishi
 
Mm ni last born,
Ni mvivu, careless, sijui kujibana aisee, nikipata pesa ni kutumbua tu.
Ila sina wa kumtegemea nakomaa mwenyewe kibishi
kazi ipo🤨

Halafu mnakuwa wabishi Sana nyie.
 
Kwa familia nilizoziona mimi nimeona tofauti, wa kike wako karibu na mama zao. Nikiwemo, akiwepo rafiki angu kipenzi na kwa baadhi wa ya watu wengine naona/nimeona
Binti jitegemee, bint wa afande kumalija...upo
 
Back
Top Bottom