First borns Vs Last borns

Mzee hii sio kwamba hakuna exceptions.
yani ndomaana nikasema wengi wako hivi
inamaana wewe lastborn mchapakazi mko wachache yani minority..

Sichukii yeyote me mwenyewe lastborn na sina hizo sifa ila majority wako ivo
Mwambie hata akiulizwa binadamu ana miguu mingapi atajibu miwili lakini siku akikutana na mwenye muu mmoja hatamtoa kwenye kundi la binadamu
 
First born wetu wa kike ana sifa zote ila kwenye ubaya hayupo.
Yupo karibu Sana na Mama na hata kwa Baba ilikuwa ivyo ivyo.
 
Mwambie hata akiulizwa binadamu ana miguu mingapi atajibu miwili lakini siku akikutana na mwenye muu mmoja hatamtoa kwenye kundi la binadamu
πŸ˜…πŸ˜… kudate na lastborn Ni sawa nakuuguza mgonjwa.
 
fist born wengi ni wahanga wa lawama za kifamilia, japo huwasaidia wadogo zao kufikia ndoto bt mara nyngi hulipwa lawama ndo maana wengi huishi kivyao vyao
 
Kuna siku niliekuwa nae akaniambia kudate na nyie last born ni shida sana, nilijiskia vibaya kwa kauli yake maana aliitoa tukiwa tumepishana kidogo.
πŸ˜‚πŸ˜‚pole Sana mkuu ni muhimu Sana kujuwa unaedate nae first au last ili ukiwa unaona some elements unakuwa hupati shida .
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…Ila pole Sana umenifurahisha.
 
[emoji23][emoji23]pole Sana mkuu ni muhimu Sana kujuwa unaedate nae first au last ili ukiwa unaona some elements unakuwa hupati shida .
[emoji28][emoji28][emoji28]Ila pole Sana umenifurahisha.

Ahsante ila kauli nyingine sio kabisa nikijitathimini mambo mengi mabaya kuhusu last born sina alafu anasena nyenyenyee.
 
Mpaka mtakapo rekebisha tabia yenu ya uvivu
Wachache tu ndo wanauvivu mtu si u first born au u last born!. Mtu ni saikolojia japo natambua hizo nafasi zinaweza kuhamasisha tabia ya mtu lkn si kivilee.. last born tupo vizuri kwanza tunavichwa vizuri I mean smart enough kushinda first born..😜
Halafu nyie first born waonevu sana mkiachwa mtuangalie hata mtu ukila ka pera utashangaa ushatiwa konzi..πŸ˜‚ nafikiri unaasili ya yule chibonge mamwiko..πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…