πππππ nicheke tu.Wachache tu ndo wanauvivu mtu si u first born au u last born!. Mtu ni saikolojia japo natambua hizo nafasi zinaweza kuhamasisha tabia ya mtu lkn si kivilee.. last born tupo vizuri kwanza tunavichwa vizuri I mean smart enough kushinda first born..π
Halafu nyie first born waonevu sana mkiachwa mtuangalie hata mtu ukila ka pera utashangaa ushatiwa konzi..π nafikiri unaasili ya yule chibonge mamwiko..π
[emoji23][emoji23][emoji23]msamehe bure .
Somehow wanawaonea .
Wachache tu ndo wanauvivu mtu si u first born au u last born!. Mtu ni saikolojia japo natambua hizo nafasi zinaweza kuhamasisha tabia ya mtu lkn si kivilee.. last born tupo vizuri kwanza tunavichwa vizuri I mean smart enough kushinda first born..[emoji12]
Halafu nyie first born waonevu sana mkiachwa mtuangalie hata mtu ukila ka pera utashangaa ushatiwa konzi..[emoji23] nafikiri unaasili ya yule chibonge mamwiko..[emoji23]
Hapo kwenye usmart naunga mkono hoja last born wetu yupo vyema kichwani kuliko hata bro wake..ingawa first naye yupo vizuri(dada)..ππ alafu Mimi sipo kwenye first Mimi ni wa tatu..mgombelezea ugomvi wa first na last maana mkianza kuvimbiana nyie..tafaraniWachache tu ndo wanauvivu mtu si u first born au u last born!. Mtu ni saikolojia japo natambua hizo nafasi zinaweza kuhamasisha tabia ya mtu lkn si kivilee.. last born tupo vizuri kwanza tunavichwa vizuri I mean smart enough kushinda first born..π
Halafu nyie first born waonevu sana mkiachwa mtuangalie hata mtu ukila ka pera utashangaa ushatiwa konzi..π nafikiri unaasili ya yule chibonge mamwiko..π
Mimi huyo..!!..kazi ya mama yake anaemdekeza.Aache uvivu umsaidie katika hilo
Usije ukajikojolea tu..πππππ nicheke tu.
πππFirst born wana dharau japo sio wote, me nakumbuka niliwai ambiwa na first born (hatujapishana sana umri), alisema piga ua lazima utaniomba nikutumie hela wewe huna ujanja mimi ni mkubwa kwako kwa kila kitu but kwa bahati nzuri sikuwahi kufanya hivyo na sasa mimi ndio namboost kiasi fulani [emoji38][emoji23][emoji23] kutangulia sio kufika huo ufirst born ni dhamana tu kama ilivyo sisiem na serikali yake.
Mimi huyo..!!..kazi ya mama yake anaemdekeza.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana nikaandika hapa coz I know.. nyie wakatikati huwa mpo natural ila mkizidi huwa mnazidi kweli.. ukikuta mkorofi ni korofi haswa na ukikuta mpole ni mpole kweli.. kwetu last na first tumetulia hatuna hiana ila hizi njemba za katikati..π korofi,hazisikii,mabaunsa wao.. Hawa Kuna muda wanakutetea na Kuna muda wanatia nakozi mpk unakimbilia kwenye uvungu wa kitanda..πHapo kwenye usmart naunga mkono hoja last born wetu yupo vyema kichwani kuliko hata bro wake..ingawa first naye yupo vizuri(dada)..ππ alafu Mimi sipo kwenye first Mimi ni wa tatu..mgombelezea ugomvi wa first na last maana mkianza kuvimbiana nyie..tafarani
hapanaUsije ukajikojolea tu..
Mkuu hawa first wanajiona matawi sana ila pia huwa nawahurumia sometimes maana majukumu huachiwa wao na unakuta mimtu mikorofi kuikontro tabu sana.. wengine hujitoa kwelikweli kutetea familia na ukileta za kuleta unaafabishwa vilivyo.. last born sometimes tunazingua maana huwa tunajua mazeli au fazeli yupo hivyo Kinga ipo.. Kuna siku utotoni nililishwa mkong'oto na bro nilikoma komamanga wa watu..π[emoji38][emoji23][emoji23] huwa natamani nimkumbushie hili ila ni vile last born tuna huruma.
Daaahπ π kudate na lastborn Ni sawa nakuuguza mgonjwa.
kazi ipoπ€¨Mm ni last born,
Ni mvivu, careless, sijui kujibana aisee, nikipata pesa ni kutumbua tu.
Ila sina wa kumtegemea nakomaa mwenyewe kibishi
Asante Mkinga. Tumshukuru Mungu wetu na tumuombe Aendelee kutubariki na kutulinda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Nimefurahi kukuona ngosha the don
Mimi pia[emoji16][emoji16] ila kujibana najuaMm ni last born,
Ni mvivu, careless, sijui kujibana aisee, nikipata pesa ni kutumbua tu.
Ila sina wa kumtegemea nakomaa mwenyewe kibishi
Amen...Asante Mkinga. Tumshukuru Mungu wetu na tumuombe Aendelee kutubariki na kutulinda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Binti jitegemee, bint wa afande kumalija...upoKwa familia nilizoziona mimi nimeona tofauti, wa kike wako karibu na mama zao. Nikiwemo, akiwepo rafiki angu kipenzi na kwa baadhi wa ya watu wengine naona/nimeona