First class chuo ni za ma TO tu-wenye historia

First class chuo ni za ma TO tu-wenye historia

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
938
Reaction score
1,540
Hi student?

Jamani mi ni mzoefu na chuo .. Kwanza najua kila mmoja anapojiunga na chuo mawazo yake huwa ni kupata 1st class yani GPA 4.4-5.0 lakini kiuhalisia ndoto zao hupotea wanapokuja kugundua ukweli. Wanaopata 1st class chuo karibu 95% ni ma TO(TZ ONE- TOP 20),

Wanaopata hzi ni wale wenye hstoria zao, mara o level 7,8 a leve 3,4. Kwa hyo msijetarajia makubwa wakati huna uwezo. Mfano mwaka 2005 jamaa aligradte mzumbe akapata 5.0 Gpa overal, na jamaa alikuwa wa 3 fom six.

Waachie matoo first class zao, wale jamaa tunawaita SUPER HUMANS.
 
si tunawaita ni unawaita 'super human'
mkuu jaribu kua unajiamin kwa kitu unachofanya vinginevyo utakuja na wanaopata kazi zenye earning kubwa ni TO's
fact:nliposoma post yako nimegundua hua ujiamin ndo mana ukajenga mawazo kama ayo...

Thanks.
 
jamaa mtoa mada ni m2 wa kukariri, jipange bro
 
Nyie bisheni mana hamjui ,mi naongea fact tu hapa, sijakurupuka usingizini kuyaongea haya. Evidence zipo, vilaza wajitambue mapema
 
Another silly people!Una uzoefu na chuo ww ni Prof?umbumbumbu wako ndio uliokunyima first class ukatoka na gmen pass.Kwa hiyo unawashauri vijana wasitie bidii?Na kweli ww ni mwwanamabadiliko maana bado hujatoka ktk kundi la zinjathropas
 
Acha kusifia vitu ambavyo vipo kwa asilimia ndogo sana.

Nani asiyejua kwamba elimu ya chuo ukisoma vizuri unafaulu kwa GPA nzuri. Hapo unajaribu kuwaogopesha vijana wa First year. Watu kibao Form six walipiga 3 za kawaida wakakosa mkopo then wakaingia chuo kwa kukaza then muda huu wanakula bata sehemu mbalimbali.

Usikariri maisha mpwa. Vijana kazeni Buti vyuoni achaneni na hao wanaokariri life.

Inshu ni kukaza tu hamna TO wala nini. Hata huyo TO akipiga msuli wa kawaida pass au lower inamkumba ktk GPA yake.
 
Nnachojua mimi 1st class kupata ni ngumu,that‘s a fact. Lakini sio ma TO pekee ndo wanapata-it is not their reserve. Hakuna formula kwny kupata 1st class zaidi ya bidii. Hata ukiwa TO ukimbwela unapata gentleman.
 
Uzoefu wako ulianzia wapi ukaishia wapi?Usikatishe watu tamaa,bidii ya mtu ndiyo itakayo-determine GPA yake.

BHULULU usemayo ni kweli,nimesoma na watu ambao huko nyuma hawakuwa ma-TO kama mleta thread anavotaka tuamini na wakapata first class. Na si hvyo tu hata darasani hawakuwa wanatisha kiivo.
 
nilikua sijajua aliyetoa huu uzi kumbe ni mwanamabadiliko
fact:wakuu jaribuni kumfatilia huyu jamaa humu jf utagundua kitu
 
BHULULU usemayo ni kweli,nimesoma na watu ambao huko nyuma hawakuwa ma-TO kama mleta thread anavotaka tuamini na wakapata first class. Na si hvyo tu hata darasani hawakuwa wanatisha kiivo.

Mkuu huyu mleta mada anafikiri ni yeye tu ndiye anajua mambo.Watu wengine ni wa kuhurumia tu.
 
Hi student? Jamani mi ni mzoefu na chuo .. Kwanza najua kila mmoja anapojiunga na chuo mawazo yake huwa ni kupata 1st class yani GPA 4.4-5.0 lakini kiuhalisia ndoto zao hupotea wanapokuja kugundua ukweli. Wanaopata 1st class chuo karibu 95% ni ma TO(TZ ONE- TOP 20), Wanaopata hzi ni wale wenye hstoria zao, mara o level 7,8 a leve 3,4. Kwa hyo msijetarajia makubwa wakati huna uwezo. Mfano mwaka 2005 jamaa aligradte mzumbe akapata 5.0 Gpa overal, na jamaa alikuwa wa 3 fom six. Waachie matoo first class zao, wale jamaa tunawaita SUPER HUMANS
wizi m2pu... 2pa kuleeeeeeee... We mtoa maada inaelekea unakariri matango pori badala ya MADESAAAAA
 
TO gani ambaye hajapata first class?
•Mnawajua ma-TO wote kuanzia 1995-2008? Mie nawajua kama 8 hivi na Mmojawapo ni ZeMarcopolo (Jamaa kichwa na amepata first class),wengine siwataji ila wametoka Mzumbe/Kibaha na Ilboru,wengi naowajua wanakula maisha.....M1(A 10 olevo,A 3 alevo na 4.9 chuo) tu ndio alipata mitihani baada ya kumaliza chuo alikosa kazi kwa mda hivi akawa fustrated lkn baadae alipata kazi anakula maisha.
•Mie nilipiga One ya 3 Advance lkn sijabahatika kupata U -TO! Na Chuo kama kawa 1st class kwahyo nakubaliana na mtoa uzi,wengi waliopiga point3 wamepiga 1st class chuo.
 
Last edited by a moderator:
Wanaopata hzi ni wale wenye hstoria zao, mara o level 7,8 a leve 3,4. Kwa hyo msijetarajia makubwa wakati huna uwezo. Mfano mwaka 2005 jamaa aligradte mzumbe akapata 5.0 Gpa overal, na jamaa alikuwa wa 3 fom six. Waachie matoo first class zao, wale jamaa tunawaita SUPER HUMANS

mwanamabadiliko nimegundu unakata tamaa mapema sana then hujiami...vinginevyo huwezi badilika...sio kweli waloom pata hizo 7 , 8....3, 4 ndo haki yao kupata first class chuo...Niligonga 2 ya 18 then 2 ya 11 but chuo nikakong'oli 4.4....trust ur self
 
Back
Top Bottom