mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
Nyie bisheni mana hamjui ,mi naongea fact tu hapa, sijakurupuka usingizini kuyaongea haya. Evidence zipo, vilaza wajitambue mapema
Uzoefu wako ulianzia wapi ukaishia wapi?Usikatishe watu tamaa,bidii ya mtu ndiyo itakayo-determine GPA yake.
BHULULU usemayo ni kweli,nimesoma na watu ambao huko nyuma hawakuwa ma-TO kama mleta thread anavotaka tuamini na wakapata first class. Na si hvyo tu hata darasani hawakuwa wanatisha kiivo.
wizi m2pu... 2pa kuleeeeeeee... We mtoa maada inaelekea unakariri matango pori badala ya MADESAAAAAHi student? Jamani mi ni mzoefu na chuo .. Kwanza najua kila mmoja anapojiunga na chuo mawazo yake huwa ni kupata 1st class yani GPA 4.4-5.0 lakini kiuhalisia ndoto zao hupotea wanapokuja kugundua ukweli. Wanaopata 1st class chuo karibu 95% ni ma TO(TZ ONE- TOP 20), Wanaopata hzi ni wale wenye hstoria zao, mara o level 7,8 a leve 3,4. Kwa hyo msijetarajia makubwa wakati huna uwezo. Mfano mwaka 2005 jamaa aligradte mzumbe akapata 5.0 Gpa overal, na jamaa alikuwa wa 3 fom six. Waachie matoo first class zao, wale jamaa tunawaita SUPER HUMANS
Wanaopata hzi ni wale wenye hstoria zao, mara o level 7,8 a leve 3,4. Kwa hyo msijetarajia makubwa wakati huna uwezo. Mfano mwaka 2005 jamaa aligradte mzumbe akapata 5.0 Gpa overal, na jamaa alikuwa wa 3 fom six. Waachie matoo first class zao, wale jamaa tunawaita SUPER HUMANS