First class chuo ni za ma TO tu-wenye historia

kumbe hata wasomi mnaongea upuuzi???watu walikuwa magenius wa kutisha ss hivi wanywa pombe yule prof wa dit hamna anaemjua??lifes only 4mula what u want;hw u want it n ur determination among all luck(God)anahusika sana tu;
 
kumbe hata wasomi mnaongea upuuzi???watu walikuwa magenius wa kutisha ss hivi wanywa pombe yule prof wa dit hamna anaemjua??lifes only 4mula what u want;hw u want it n ur determination among all luck(God)anahusika sana tu;

hivi DIT si chuo cha wehu, wote ni vilaza pale DIT, hakuna professor DIT bali kuna wanywa gongo
 

wewe ndio ulikuja na huu upup.u ukashambuliwa vilivyo,
watoto wa 1990s mna matatizo sana
 
first class sio maisha ingekuwa hao maTO wanatumia 1st class zao kugundua vitu vipya hapo sawa .........lakn hawana jipya kama kina mark zuckerberg, bill gates , steve job na wengne tungesema ehhhhh... lakn hamna jipya kazi misifa tuuu isiyo na msingi
 

Sikuwa na mpango wa kuandika chochote, ila baada ya kuona weledi wako wa kufikiri ni mdogo, nikaona ni vyema kukusaidia angalau hata kidogo.

Mwaka 2010 udsm best student unamjua? alikuwa ni demu na alipata GPA ya 4.6 overall.

Wakati mtu huyu huyu form 6 alipata div 1.9 ya divinity. Kiuhalisia alikuwa na div 2.10.

Alikimbiza watu waliokuwa na historia zao na kubeba mizawadi kibao, watu kama kina Martin Chegere wote walikalishwa.

Naamini wewe na watu wengine wa namna yako mtakuwa mmejifunza kitu hapa.
 
Hii mada inazidi kudhihirisha jinsi ambavyo Watanzania wanahusudisha sana elimu ya kwenye makaratasi na kupata alama za juu bila kuangalia utumikaji wa hiyo elimu katika kutawala mazingira yetu kwa lengo la kuboresha maisha.
 
Maxence Melo yawezekana huyu hana hiyo 1st class lakini ametukusanya hapa wote.
 
Last edited by a moderator:

na hao walidrop out huko chuoni tena Havard kwa Mark and Bill!
 
hao.ma to wanaishia kuwa waalimu tu
 
nzirinye nakubali kuhusu huyo martin chegele nahic alisoma economics udsm..na pia kuna cster mmjo hiv alimaliza comp engineering 2009..alipata 4.8 na mwingine ni mdada flan amemaliza 2011..comp science kitu km 4.7 lakini imagine Faculty of Law UDSM first class ya mwisho ni 1988 ss jiulize vyuo vya pembeni wanatoka wangapi? haya mambo ya first class ni very rare kwa chuo kama udsm ila hivyo vya pembezoni olmost class zima linapata first class..udsm ni wa kuhesabika tu..mtu ana first class lakini mpatie computer airekebishe hapo kama haja kwambia desa nimelisahau..
 
jamani huyu dogo atuambie to wa tosa yuko wapi? asijfanye anajua sana wa2?
 
hivi DIT si chuo cha wehu, wote ni vilaza pale DIT, hakuna professor DIT bali kuna wanywa gongo
MKUU SI ULISEMA UNA PhD YA MATHEMATICCS?
USIKUTE HATA HASOMEI DEGREE NI DIPLOMA AU CERTICATE MANAKE NI MUONGO,MPENDA KUJISIFU HAMNA KITU HAPO
 
uzembe wa kufikiri wa mtu hupimwa kwa maneno yake ya kiubinafisi!!!!! mtoa mada anaonyesha mbinafc wa kifkra!! KUNA CRITERIA GANI ZINGINE ALIZOTUMIA!! KU THIBITISHA!!...... KUNA UTOFAUTI WA VYUO.... SERIOSNES YA CHUO... STANDARD YA CHUO... NA NIN biz niversty au!!! hv did u check GPA za Tumaini wakati kinaanza... thn huyo alienayo ya ju alikuwa TO!!..... DONT GENERALIZE things.. kuna watu wana akili timamu huk JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…