Give the guy some credit bhana..mbona wabongo mnapenda kukandia kila kitu..wewe umejuaje amebebwa au ni wivu tu..kwenda zako wewe angalia mwenzako na GPA KALI assistant lecturer kapiga zero hizo si mnabebwa tu.
Mtihani ni sawa na jiwe linalorushwa kwenye kundi la watu: humpata linayempata na kumkosa linayemkosa.