First Class GPA 4.4

First Class GPA 4.4

The Son

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
459
Reaction score
58
2011/2012 Course Unit Cwk GradePointRemarksStatusGPA
ED 243 English Teaching Methods 2 28.0 A 10.0 PASS Core
ED 240 Measurement and Evaluation 3 33.2 A 15.0 PASS Core
GE 240 Earth and Biotic Resources 3 35.0 B+ 12.0 PASS Core
ED 245 Geography Teaching Methods 2 28.0 B+ 8.0 PASS Core
EL 241 Variation in English 3 33.0 A 15.0 PASS Core
MS 236 Development Studies II 2 24.0 B+ 8.0 PASS Core
EL 240 Child Language 3 31.0 B+ 12.0 PASS Core
18 80.0 4.4
 
kwenda zako wewe angalia mwenzako na GPA KALI assistant lecturer kapiga zero hizo si mnabebwa tu.
 
kwenda zako wewe angalia mwenzako na GPA KALI assistant lecturer kapiga zero hizo si mnabebwa tu.

Uliza ya chuo gani kisha waulize wanaokijua kama kina hizo habari za kubebwa unazozisema.
 
Mtihani ni sawa na jiwe linalorushwa kwenye kundi la watu: humpata linayempata na kumkosa linayemkosa.
 
4.4??? natamani ningekua mimi!!
teh! teh! teh!
 
Ok nimekusoma kijana tapatia ww kasi ya kuwa derefa wangu
 
Hata mwigulu anayo lkn upeo wake ndio ule uujuao
 
Back
Top Bottom