ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,451
- 2,348
umeona ulivyo nyambaf mamayo zako kumbe unajua ka wachumi wapo wengi kwa nini thread yako imeanza na taito ya mwigulu,ultaka mwigulu aishkilie na mikono yake shs isishuke,acha usengele nyuma we mchagadema..
Wizara haziongozwi na mtu mmoja we mama kuna timu ya wataalam kila wizara,,kuna watu hawatizi wajibu wao alafu wanawahi kunyoshea wengine vidole....kama wewe ni mtaalamu wa jambo fulan na umeajiriwa serikalin kwa kazi hiyo kwa ajili yakumsaidia waziri alafu kuna jambo linaharibika na wewe upo tu unaishia kumlalamikia waziri basi na wewe hufai kuwa hapo...na hii ndo sheda yetu watz,,huwa tunatafuta wakumpa lawama badala yakutafuta ufumbuzi...!
bWe punga Wizara sio familia ya kambare ambayo hujui nani baba mama au mtoto kwa sababu ya ndevu zao!!.. Serikalini sio kama kikundi chako cha wacheza vigodolo... Mawaziri wamekabidhiwa dhamana ya kusimamia wizara zao.. chochote kikienda kombo wakuwajibika ni yeye..
Wanavyokupakata wawe wanakufindisha na majukumu yao!!!