First class ya uchumi ya Mwigulu Nchemba imeshindwa kuiokoa Shilingi dhidi ya Dollar?

First class ya uchumi ya Mwigulu Nchemba imeshindwa kuiokoa Shilingi dhidi ya Dollar?

ilala yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
1,451
Reaction score
2,348
umeona ulivyo nyambaf mamayo zako kumbe unajua ka wachumi wapo wengi kwa nini thread yako imeanza na taito ya mwigulu,ultaka mwigulu aishkilie na mikono yake shs isishuke,acha usengele nyuma we mchagadema..
 
Nyambafu, gari likipata ajali kwa uzembe nani alaumiwe, dereva aliyekuwa anaendesha au madereva waliokuwa ndani ya gari kama abiria? Mwigulu na wenzake lazima wasolve tatizo vinginevyo waseme wameshindwa kazi.
 
Wizara haziongozwi na mtu mmoja we mama kuna timu ya wataalam kila wizara,,kuna watu hawatizi wajibu wao alafu wanawahi kunyoshea wengine vidole....kama wewe ni mtaalamu wa jambo fulan na umeajiriwa serikalin kwa kazi hiyo kwa ajili yakumsaidia waziri alafu kuna jambo linaharibika na wewe upo tu unaishia kumlalamikia waziri basi na wewe hufai kuwa hapo...na hii ndo sheda yetu watz,,huwa tunatafuta wakumpa lawama badala yakutafuta ufumbuzi...!

We punga Wizara sio familia ya kambare ambayo hujui nani baba mama au mtoto kwa sababu ya ndevu zao!!.. Serikalini sio kama kikundi chako cha wacheza vigodolo... Mawaziri wamekabidhiwa dhamana ya kusimamia wizara zao.. chochote kikienda kombo wakuwajibika ni yeye..

Wanavyokupakata wawe wanakufindisha na majukumu yao!!!
 
b

Acha ujinga we msengenyaji..kama waziri ndo kila kitu watu wengine wamejazana huku mawizarani? Lazima kuna watu wakumshauri waziri kama hawafanyi kazi yao vizuri ujue wizara itayumba..haiwezekan kujaza watu wizarani tunawalipa mishahara kwa kodi zetu alafu tuhangaike na waziri peke yake...kila mtu atimize wajibu wake...
 
Back
Top Bottom