yaap kusoma ndio kila kitu just work hard na njia ya mafanikio ni nyeupe. Opportunities zinakusubiri huko mbele.
totally true
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaap kusoma ndio kila kitu just work hard na njia ya mafanikio ni nyeupe. Opportunities zinakusubiri huko mbele.
wale ambao hawakufanikiwa kupata mkopo ama chuo hivyo kushindwa kusonga mbele na elimu ya juu UNAWASHAURI NINI mkuu!!!
siko bbm...sina mda na digital..ving'amuzi nk...mm bado analogia(old school) dona,mihogo, bada ndo msosi tofauti na kizazi cha facebook wao chocolate, chips,pizza na bagga... tungi kwa sana madem wengiiiiii nguvu hawana...ndo maana yangu
Dah mimi nshapata first class zangu za semester mbili
kama jina lako lilivyo ungeondoa A baada ya M ingekuwa Mshamba....ungetaka swagga ungejiita countryboy au farmboy au oldschool...ni mapendekezo ya kianalogia zaida...mkuu usidhani natukana....hahahaha hivyo vyote vinafanya baadae wanakuja kujuta.
Hivyo vitu sio muhimu kuendekeza kwani vina madhara sana...bora sie tubaki analog
kama jina lako lilivyo ungeondoa A baada ya M ingekuwa Mshamba....ungetaka swagga ungejiita countryboy au farmboy au oldschool...ni mapendekezo ya kianalogia zaida...mkuu usidhani natukana....
Habari Wadau.
Leo nimekuja kusisitiza jambo moja tu kwa wanachuo nalo ni kusoma kwa bidii na kuweka nia ya kupata first class coz najua ukilenga first class, upper second utaipata kwa bahati mbaya.
Ajira zimekua ngumu sana na ufaulu wako bila kujali chuo wala course ndio vitakavyokupa value na kukubeba kwenye market hivyo basi tumieni muda wenu vizuri ili msije mkajuta baadae. Ukikosa first au upper second kwa kweli unakua kwenye nafasi mbaya sana katika kupata ajira hivyo kazaneni sana wajameni. Kuna kampuni huwezi pata kazi usipokua na japo upper second. Nawaambia ili muwe na taarifa kabisa msije kuteseka baadae kutokana na kugraduate na GPA ndogo so tuliza akili soma sana na kuwa mcha MUNGU akiweka starehe, ulevi na uzinzi mbali na wewe.
Finally, niwatakieni masomo mema first year wote na wanaendelea, someni sana nasisitiza someni hata kama watu watakuona mshamba ila jua unawekeza kwa maisha yako ya baadae. Kumbuka kila mtu ametoka kwao na ukimaliza utarudi kwenu so don't let down your family.
Kwa wenzangu na mimi tuliograduate na tunatafuta kazi tueendeleeni kupambana huku tukiombeana na kutiana moyo na mwisho tutafika katika mafanikio kwa msaada wa MUNGU wetu aliejuu mbinguni.
Dah mimi nshapata first class zangu za semester mbili
kila mtu akipata first class upper wamwachie nani
Tusipange sana kuajiriwa... Cheki upande wa 2 pia, ndio unakuta mtu ana Gpa 4.5 afu hawez kazi kisa alikuwa anakariri ili afauru
Wamwachie nini...??
hahaa! usinifurahishe mie