CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Mkuu wachezaji wa kigeni hawajafika 12 kweli?namba 6 hata mimi naungana wewe juzi mipira inaokolewa inandoka position ya namba 6 hakuna mtu..nafikiri kocha anamepeleka outarra namba 6 huku nyuma atakaa onyango na inonga..kuhus manzoki acha ninyamaze tu sababu inaniudhi sana ikishindikana nendeni west africa huko kuna strikers kibao tu
kanoute si anahitajika amazulu, wamuuze tu au wampeleke kwa mkopoMkuu wachezaji wa kigeni hawajafika 12 kweli?
Mkude hakabi, amechoka ameisha, Simba inahitaji CDM kiungo shoka kiungo mkata umeme.Kikosi hakina mkude,, hiki kikosi ni Batili
Hapa ni TATIZO kubwa mno kaka.namba 6 hata mimi naungana wewe juzi mipira inaokolewa inandoka position ya namba 6 hakuna mtu..nafikiri kocha anamepeleka outarra namba 6 huku nyuma atakaa onyango na inonga..kuhus manzoki acha ninyamaze tu sababu inaniudhi sana ikishindikana nendeni west africa huko kuna strikers kibao tu
Kanute, Banda na Sakho wanawang'ania tu, mi nadhani Kuwatoa Kuna faulida kuliko kuwabakisha.kanoute si anahitajika amazulu, wamuuze tu au wampeleke kwa mkopo
Mkude sijui anatumia mganga Gani inaonekana amechoka lakini panga pangua yupo kikosiniMkude hakabi, amechoka ameisha, Simba inahitaji CDM kiungo shoka kiungo mkata umeme.
Kiungo asiyekubali back four yake kufika kirahisi.
Kama tadeo asingeumia na majeraha angetuvusha.
Yanga wanajivunia CDM bangala
Anatumia Sana misumari, Flaga na Lwanga wameumia same injury ki utani tu.Mkude sijui anatumia mganga Gani inaonekana amechoka lakini panga pangua yupo kikosini
Akpan anaenjoy box to box 8 costal Alikuwa anachezeshwa 8.Akpan 6
8 Okwa
10 Chama.
11 Okrah
Kama hakuna 9 ya uhakika wamuweke Kibu D awaoneshe moto
mzee Onyango abaki half back 4,alafu Oatara akicheza sita itapendeza zaidi yule jamaa anakitu bora sana cha kuonyesha kwenye nafasi ya CDM.Akpan anaenjoy box to box 8 costal Alikuwa anachezeshwa 8.
Okwa ni 8 lakini mpira wa kisasa unahitaji ku balance kulinda na kushambulia unahitaji 8 mwenye uwezo wa kucheza Box to box kushambulia na kukaba.
Okwa anaenjoy Sana 10.
Sakho eti nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kanute, Banda na Sakho wanawang'ania tu, mi nadhani Kuwatoa Kuna faulida kuliko kuwabakisha.
FIRST ELEVEN YA SIMBA 2022.
1. Aishi Manula.
2. Shomari Kapombe.
3. Mohamed Hussein.
4. Mohame Oattara.
5. Enoch Enonga.
6. Hapa hakuna mchezaji sahihi.
7. Augustine Occrah.
8. Victor Akpan au Kanute.
9. Hakuna mchezaji sahihi wa kucheza hii nafasi. Adebayor imeshindikana, Manzoki hatujui ni NINI hatma yake Hadi sasa.
10 Clotus chama, Sacko, Okw. Ushindani ni mkali Sana.
11. Moses phiri.Sakho.
Wanasimba tunahitaji tujue kama usajili wa Cesal Lobi Manzoki. Kama wameshindwa watuweke wazi tujue.
NO MANZOKI NO UBINGWA.
WANASIMBA JIANDAENI KISAIKOLOJIA.
MZUNGU TUMEPIGWA PEUPE.
Hujui chochote kuhusu mpiraFIRST ELEVEN YA SIMBA 2022.
1. Aishi Manula.
2. Shomari Kapombe.
3. Mohamed Hussein.
4. Mohame Oattara.
5. Enoch Enonga.
6. Hapa hakuna mchezaji sahihi.
7. Augustine Occrah.
8. Victor Akpan au Kanute.
9. Hakuna mchezaji sahihi wa kucheza hii nafasi. Adebayor imeshindikana, Manzoki hatujui ni NINI hatma yake Hadi sasa.
10 Clotus chama, Sacko, Okw. Ushindani ni mkali Sana.
11. Moses phiri.Sakho.
Wanasimba tunahitaji tujue kama usajili wa Cesal Lobi Manzoki. Kama wameshindwa watuweke wazi tujue.
NO MANZOKI NO UBINGWA.
WANASIMBA JIANDAENI KISAIKOLOJIA.
MZUNGU TUMEPIGWA PEUPE.
Umewahi kumuona akicheza sita????mzee Onyango abaki half back 4,alafu Oatara akicheza sita itapendeza zaidi yule jamaa anakitu bora sana cha kuonyesha kwenye nafasi ya CDM.