First eleven ya Simba 2022 - 23

First eleven ya Simba 2022 - 23

CAPO DELGADO

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2020
Posts
8,542
Reaction score
18,340
FIRST ELEVEN YA SIMBA 2022.

1. Aishi Manula.

2. Shomari Kapombe.

3. Mohamed Hussein.

4. Mohame Oattara.

5. Enoch Enonga.

6. Hapa hakuna mchezaji sahihi.

7. Augustine Occrah.

8. Victor Akpan au Kanute.

9. Hakuna mchezaji sahihi wa kucheza hii nafasi. Adebayor imeshindikana, Manzoki hatujui ni NINI hatma yake Hadi sasa.

10 Clotus chama, Sacko, Okw. Ushindani ni mkali Sana.

11. Moses phiri.Sakho.

Wanasimba tunahitaji tujue kama usajili wa Cesal Lobi Manzoki. Kama wameshindwa watuweke wazi tujue.
NO MANZOKI NO UBINGWA.

WANASIMBA JIANDAENI KISAIKOLOJIA.

MZUNGU TUMEPIGWA PEUPE.
 
namba 6 hata mimi naungana wewe juzi mipira inaokolewa inandoka position ya namba 6 hakuna mtu..nafikiri kocha anamepeleka outarra namba 6 huku nyuma atakaa onyango na inonga..kuhus manzoki acha ninyamaze tu sababu inaniudhi sana ikishindikana nendeni west africa huko kuna strikers kibao tu
 
Mkuu wachezaji wa kigeni hawajafika 12 kweli?
 
namba 6 hata mimi naungana wewe juzi mipira inaokolewa inandoka position ya namba 6 hakuna mtu..nafikiri kocha anamepeleka outarra namba 6 huku nyuma atakaa onyango na inonga..kuhus manzoki acha ninyamaze tu sababu inaniudhi sana ikishindikana nendeni west africa huko kuna strikers kibao tu
Hapa ni TATIZO kubwa mno kaka.
TATIZO LINGINE sugu ni 9
 
Akpan 6
8 Okwa
10 Chama.
11 Okrah

Kama hakuna 9 ya uhakika wamuweke Kibu D awaoneshe moto
 
Akpan anaenjoy box to box 8 costal Alikuwa anachezeshwa 8.

Okwa ni 8 lakini mpira wa kisasa unahitaji ku balance kulinda na kushambulia unahitaji 8 mwenye uwezo wa kucheza Box to box kushambulia na kukaba.

Okwa anaenjoy Sana 10.
 
mzee Onyango abaki half back 4,alafu Oatara akicheza sita itapendeza zaidi yule jamaa anakitu bora sana cha kuonyesha kwenye nafasi ya CDM.
 
Kanute, Banda na Sakho wanawang'ania tu, mi nadhani Kuwatoa Kuna faulida kuliko kuwabakisha.
Sakho eti nn?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utopolooo waza team yako, poleeeeeeh
 
FIRST ELEVEN YA SIMBA 2022.

1. Aishi Manula.

2. Shomari Kapombe.

3. Mohamed Hussein.

4. Mohame Oattara.

5. Enoch Enonga.

6. Hapa hakuna mchezaji sahihi.

7. Augustine Occrah.

8. Victor Akpan au Kanute.

9. Hakuna mchezaji sahihi wa kucheza hii nafasi. Adebayor imeshindikana, Manzoki hatujui ni NINI hatma yake Hadi sasa.

10 Clotus chama, Sacko, Okw. Ushindani ni mkali Sana.

11. Moses phiri.Sakho.

Wanasimba tunahitaji tujue kama usajili wa Cesal Lobi Manzoki. Kama wameshindwa watuweke wazi tujue.
NO MANZOKI NO UBINGWA.

WANASIMBA JIANDAENI KISAIKOLOJIA.

MZUNGU TUMEPIGWA PEUPE.

Huna unachojua dogo ujuaji mwingiiii unaandika pumba tu..
 
FIRST ELEVEN YA SIMBA 2022.

1. Aishi Manula.

2. Shomari Kapombe.

3. Mohamed Hussein.

4. Mohame Oattara.

5. Enoch Enonga.

6. Hapa hakuna mchezaji sahihi.

7. Augustine Occrah.

8. Victor Akpan au Kanute.

9. Hakuna mchezaji sahihi wa kucheza hii nafasi. Adebayor imeshindikana, Manzoki hatujui ni NINI hatma yake Hadi sasa.

10 Clotus chama, Sacko, Okw. Ushindani ni mkali Sana.

11. Moses phiri.Sakho.

Wanasimba tunahitaji tujue kama usajili wa Cesal Lobi Manzoki. Kama wameshindwa watuweke wazi tujue.
NO MANZOKI NO UBINGWA.

WANASIMBA JIANDAENI KISAIKOLOJIA.

MZUNGU TUMEPIGWA PEUPE.
Hujui chochote kuhusu mpira
 
Mtuache tuu na simba yetu uzuri kitaeleweka
 
mzee Onyango abaki half back 4,alafu Oatara akicheza sita itapendeza zaidi yule jamaa anakitu bora sana cha kuonyesha kwenye nafasi ya CDM.
Umewahi kumuona akicheza sita????

Na huyo Akpan aliyesajiliwa sita itakuwaje?????

Onyango amechoka aendelee kula pension tu
 
Back
Top Bottom