First Eleven ya Simba msimu wa 2024-2025 ni hii hapa

Hao vijana ndiyo wakapambane na Afande Bacca? Pacome? Aziz Ki? Max Nzengeli? Khalid Aucho? Yao kouassi? Acheni masikhara
 
Mkuu Magori yupo ndani ya Simba yeye na Kaduguda lakini ni kama vile wametengwa. Simba inapata shida sasa hivi kwa sababu viongozi waliopo hawaujui mpira na fitina zake halafu wameamua kuwatumia machawa wawasaidie badala ya kuwatumia watu wanaojua mpira na fitina za mpira wawasaidie. Mzee dalali pamoja na elimu yake tu ya kawaida aliweza kuiendesha Simba kwa ufanisi mkubwa sana kwa sababu aliondoa makundi yote akaiunganisha Simba ikawa moja. Leo hii viongozi waliopo wanavuna matunda ya utengano.
 
Dalili ni mbaya kama wanahangaika kuwasajili kina Kibabage, Mwamnyeto na Dube

First Eleven yako nzuri ila Kibu anaenda Yanga ambayo msimu ujao pia itaifunga tena Simba nje ndani na itakuwa tena bingwa NBC premier league. Lazima rekodi ya mbumbumbu FC ivunjwe makombe misimu minne Yanga then tunaweza kuongea!!
Naheshimu juhudi zake uwanjani ila pengo la Kibu linazibika vizuri tu
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.

2. Mbumbumbu SC.

3. Mipang'ang'a SC.

4. Malalamiko SC.

5. Makelele SC.

6. Madunduka SC.

7. Mikia SC.

8. Mazumbukuku SC.

9. Manyaunyau (mapaka) SC.

10. Manyang'au SC.

11. Miso Misondo SC.

12. Mwakarobo SC.

13. Mazombi SC.

14. Kolokhamsa SC.

15. Kolowizards SC.

16. Kinyume nyume SC.

17. Zuwena SC.

18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.

19. Bahasha SC.

20. Ngada SC.

21. Kufa Kiume SC.

22. Masandakolozidad SC.

23. 5imba SC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…