First Eleven yangu Simba ikiimaliza Singida Black Stars Jumamosi

First Eleven yangu Simba ikiimaliza Singida Black Stars Jumamosi

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Muda si mrefu mtaanza kusema GSM anaharibu Ligi....!!!
 
Huwezi ukaenda na kiungo mmoja nkabaji No 6
No 8 awe awesu.
Otherwise uwe na Back 3.

Mechi ngumu ni lazima kwenda na viungo wawili.
Ngoma na kagoma.
Kagoma na Debora.
Debora Okejepha.
Mzamiru na Ngoma
Debora na Ngoma nk.

Hapo kwenye No 3
Mwenzenu hayupo Nchini ameenda kwao kuoa.
 
Muda si mrefu mtaanza kusema GSM anaharibu Ligi....!!!
Sure mwanetu GSM anasingiziwa sana wakati sisi tunagusa tunaachia afu tunaenda kwao
muwatwalib-20241224-0001.jpg
 
Lazima mrud nafas yenu kabla ya mwaka haujaisha
 
Back
Top Bottom