nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
,Bado tunamhitaji mkude na Ajib ... Huwezi peleka Afcon magolikipa wa5[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Adi Yusuf anakipiga Sollihull Moore na si BlackpoolMbona hamumsemi Adi Yusuf wa Blackpool ya UK?Ni hatari sana yule kijana
Adi Yusuf anakipiga Sollihull Moore na si Blackpool
in fact yako vizuri sana,, atasaidia kwa kiasi chake endapo atapewa nafasi,, ingawa nina wasiwasi na hilo kwa kuwa kocha atataka kupanga wachezaji waliozoana,,
Officially kasajiliwa blackpool huyo kijanaAdi Yusuf anakipiga Sollihull Moore na si Blackpool
in fact yako vizuri sana,, atasaidia kwa kiasi chake endapo atapewa nafasi,, ingawa nina wasiwasi na hilo kwa kuwa kocha atataka kupanga wachezaji waliozoana,,
AISHI MANULA.ERASTO NYONI.ABDU BANDA.AGGREY MORRIS.KELVIN YONDAN.MAO MKAMI.SIMON MSUVA.MUDATHIR YAHYA.MBWANA SAMATA.JOHN BOCCO.YAHYA ZAYD
Adi Yusuf anakipiga Sollihull Moore na si Blackpool
in fact yako vizuri sana,, atasaidia kwa kiasi chake endapo atapewa nafasi,, ingawa nina wasiwasi na hilo kwa kuwa kocha atataka kupanga wachezaji waliozoana,,
1. Manula
2. Kessy
3. Gadiel
4. Morris
5. Yondani
6. Nyoni.
7. Msuva
8. Mdathri
9. Bocco
10.Samatta (c)
11.A.Yusuph
SUB: KIPA, BANDA, ZIMBWE, MAO, CHILUNDA, KICHUYA, ULIMWENGU, ZAYD, KELVIN JOHN, DOMAYO, FEI TOTO, MANDAWA, FARID MUSA
Gadiel ndio panga pangua ya kocha mkuu... lakini kuna Banda na Zimbwe kama atasalia, ila Gadiel ni chaguo la kwanzaUko vizuri wasiwasi wangu ni Gadiel
Himidi mao hajui mpira kabisa huyoAishi Manula,
Erasto Nyoni, Abdu Banda, Aggrey Morris Kelvin Yondan,
Mao Mkami,Simon Msuva,
Mudathir Yahya, Mbwana Samata, John Bocco, Yahya Zayd
Nyoni ameanza lini kucheza namba 6 kama Hana nafasi Kwa mabeki atemwe tu1. Manula
2. Kessy
3. Gadiel
4. Morris
5. Yondani
6. Nyoni.
7. Msuva
8. Mdathri
9. Bocco
10.Samatta (c)
11.A.Yusuph
SUB: KIPA, BANDA, ZIMBWE, MAO, CHILUNDA, KICHUYA, ULIMWENGU, ZAYD, KELVIN JOHN, DOMAYO, FEI TOTO, MANDAWA, FARID MUSA
anacheza kuanzia mbili hadi sita kwa ufasaha kabisaNyoni ameanza lini kucheza namba 6 kama Hana nafasi Kwa mabeki atemwe tu
Sasa Amunike anamuamini mtu Sasa?? Kuna dogo yuko uingereza sijui U17 aliitwa hapa bure hata hakucheza huyo Adi yusuph sijui km atacheza hii stars ya tapeli Amunike [emoji23] [emoji23]Amesaini Blackpool kutoka Sollihull majuzi kabla hajajiunga na Stars.Google Blackpool,Adi Yusuf nimesoma mahali.Yuko vizuri kocha amuamini tu
Gadiel ndio panga pangua ya kocha mkuu... lakini kuna Banda na Zimbwe kama atasalia, ila Gadiel ni chaguo la kwanza
Weeeweeee Tema mate chini, atemweeee, tutaandamanaaaaaaaaa Yule ni kiraka hata 9 anapiga fresh kabsa!Nyoni ameanza lini kucheza namba 6 kama Hana nafasi Kwa mabeki atemwe tu
Kocha ana bifu za kitoto sana.. makipa 5 maana yake hajui kazi yakeBado tunamhitaji mkude na Ajib ... Huwezi peleka Afcon magolikipa wa5[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]