First eleven yangu Taifa Stars AFCON 2019

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Aishi Manula,

Erasto Nyoni, Abdu Banda, Aggrey Morris Kelvin Yondan,

Mao Mkami,Simon Msuva,

Mudathir Yahya, Mbwana Samata, John Bocco, Yahya Zayd
 
Bado tunamhitaji mkude na Ajib ... Huwezi peleka Afcon magolikipa wa5[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
,
Watachujwa tena 9 wakifika huko misri,23 ndo wanagharamiwa na CAF,hao 9 wataingizwa kwenye kikosi cha kujiandaa na CHAN kwa hiyo hapo magolikipa watabaki watatu,inavyoonekana wanaocheza nje ya nchi hawatakatwa ila wale wa ndani
WACHEZAJI 9 wanaenda kuchujwa tena huko Misri na watwekwa hoteli tofauti kwa gharama za TFF
 
Mbona hamumsemi Adi Yusuf wa Blackpool ya UK?Ni hatari sana yule kijana
 
Adi Yusuf anakipiga Sollihull Moore na si Blackpool
in fact yako vizuri sana,, atasaidia kwa kiasi chake endapo atapewa nafasi,, ingawa nina wasiwasi na hilo kwa kuwa kocha atataka kupanga wachezaji waliozoana,,
 
Amesaini Blackpool kutoka Sollihull majuzi kabla hajajiunga na Stars.Google Blackpool,Adi Yusuf nimesoma mahali.Yuko vizuri kocha amuamini tu

Officially kasajiliwa blackpool huyo kijana
 
1. Manula
2. Kessy
3. Gadiel
4. Morris
5. Yondani
6. Nyoni.
7. Msuva
8. Mdathri
9. Bocco
10.Samatta (c)
11.A.Yusuph
SUB: KIPA, BANDA, ZIMBWE, MAO, CHILUNDA, KICHUYA, ULIMWENGU, ZAYD, KELVIN JOHN, DOMAYO, FEI TOTO, MANDAWA, FARID MUSA
 
Uko vizuri wasiwasi wangu ni Gadiel

Nyoni ameanza lini kucheza namba 6 kama Hana nafasi Kwa mabeki atemwe tu
 
Amesaini Blackpool kutoka Sollihull majuzi kabla hajajiunga na Stars.Google Blackpool,Adi Yusuf nimesoma mahali.Yuko vizuri kocha amuamini tu
Sasa Amunike anamuamini mtu Sasa?? Kuna dogo yuko uingereza sijui U17 aliitwa hapa bure hata hakucheza huyo Adi yusuph sijui km atacheza hii stars ya tapeli Amunike [emoji23] [emoji23]
 
Banda mzuri na pia ana height nzuri Mechi ya Senegal atahitajika sana wana manguvu sana.
Gadiel ndio panga pangua ya kocha mkuu... lakini kuna Banda na Zimbwe kama atasalia, ila Gadiel ni chaguo la kwanza
 
Nyoni ameanza lini kucheza namba 6 kama Hana nafasi Kwa mabeki atemwe tu
Weeeweeee Tema mate chini, atemweeee, tutaandamanaaaaaaaaa Yule ni kiraka hata 9 anapiga fresh kabsa!

Hadi ukocha anaweza, amunike akizingua tumpige chini nyoni apige kocha mchezaji.
 
Bado tunamhitaji mkude na Ajib ... Huwezi peleka Afcon magolikipa wa5[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kocha ana bifu za kitoto sana.. makipa 5 maana yake hajui kazi yake
 
Back
Top Bottom