First eleven yangu ya members wa JF 2019

First eleven yangu ya members wa JF 2019

Hahah unaleta masihara kwenye utani..
Mkuu unajua mazungumzo mafupi kuliko yote duniani ni pale unapokuwa chooni halafu anakuja mtu ghafla Na kufungua mlango

Mazungumzo Huwa hivi...

_Wewe_😒: EEEEEH

_Aliefungua mlango_😳: AAAH

MWISHO WA MAZUNGUMZO 😂😂😂😂😂
 
.
FB_IMG_15723841576999157.jpeg
 
Hahah unaleta masihara kwenye utani..
Mkuu wangu leo Nimetokea kuiogopa sana pombe baada ya kumwona jirani yangu akicheza muziki kwa sauti ya jenereta langu, akidhani yuko club.....nkamsikia anasema "wee dj noomaaaa"
Baada ya kuzima jenereta akaniuliza uo mziki kaimba nan?
Nilivyokuwa na roho mbaya Nikamwambia iyo ni collabo ya Yamaha na Petrol
 
Subiri kesho nikiwa na pc nikutafutie maswali konki... ila kama ungeweza kuderive ile equation ningekupa heshima kubwa
Mkuu enzi zako unasoma Ushawahi fanya mtihani halafu msimamizi kasimama sana nyuma yako akiangalia unachoandika kisha unamsikia akitangaza "jamani hakikisheni mnasoma vizuri maswali"😂
 
Da Sky Eclat kwa baadhi ya nyuzi zake huwa napata mawili matatu ambayo yanakuwa na faida kwangu.

Bi FaizaFoxy huwa naupitia uzi wake ule wa Faidika na Faiza japo ni wa muda kidogo lakini kwangu ni uzi bora ambao unafanya najua vingi. Nakaribia kuumaliza sasa.

MK254 Huyu jirani naye ndio kafanya niwe nafuatilia hizi battle za Kenya na Tanzania japo huwa akishikwa pabaya utaona akianza kuandika anaandika "Hehehee". Ujue hapo kinachofuata chini ni kichambo. 😂😂😂😂

Mshana Jr naye ni mmoja wapo kwani kafanya kupitia ule uzi wake mpya wa Selfika basi nimekuwa naburudiiika hasa nikiwa sina kazi napitia baadhi ya page ambapo huwa naishia kucheka tu kwani kuna baadhi ya mambo ni burdaani kabisaa.

Pia nawapongeza wadada wa Jf ni visu jamaani. Khaaa. Toka uzi uanze sijaona picha isiyo na kiwango mule.

Sesten Zakazaka huyu ndio kapunguza ule uteja wa Jf kwa Shadeeya hasa ile kauli mbiu yake "itumie Jf kufaidika na sio ilimradi tu".
 
Shadeeya,
Ni kweli Shadeeya JF ina mambo mengi mengine yanakera na mengine mengi mazuri sana. Yaani yanaburudisha, yanaelimisha na yanatupasha habari mbalimbali zile serious na za udaku pia

Ila umesahau kitu kimoja, nakujua wewe ni shabiki mkubwa wa Numbisa na kazi zake lakini hukumuwekamo hapo kwa list yako, hebu tambua uwepo wake basi mamii🤪🤪🤪
 
Back
Top Bottom