First eleven yangu ya members wa JF 2019

First eleven yangu ya members wa JF 2019

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji144][emoji120][emoji120]
Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2019. Hiki ni kikosi changu bora. Nafurahishwa na kuelimishwa na michango ya members wengi sana ila hawa nimetokea kuwaelewa sana..

1. Mshana Jr
2. Chige
3. OKW BOBAN SUNZU
4. Salary Slip
5. Khantwe
6. Shadeeya
7. Baba swalahe
8. FORTALEZA
9. joanah
10. Smart 911 (cc mahondaw)
11. manengelo

=====UPDATES======

Kwakua teams haichezi bila wachezaji wa akiba tuongeze hapa..

SUBS :

Mzigua90, Ghazwat, CHIEF-MKWAWA, extrovet, Sky Eclat, Bujibuji, wa stendi, Mwifwa
binti kiziwi

Unaweza panga kikosi chako pia.

UZI TAYARI.
 
[emoji120][emoji120][emoji120]
Da Sky Eclat kwa baadhi ya nyuzi zake huwa napata mawili matatu ambayo yanakuwa na faida kwangu.

Bi FaizaFoxy huwa naupitia uzi wake ule wa Faidika na Faiza japo ni wa muda kidogo lakini kwangu ni uzi bora ambao unafanya najua vingi. Nakaribia kuumaliza sasa.

MK254 Huyu jirani naye ndio kafanya niwe nafuatilia hizi battle za Kenya na Tanzania japo huwa akishikwa pabaya utaona akianza kuandika anaandika "Hehehee". Ujue hapo kinachofuata chini ni kichambo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mshana Jr naye ni mmoja wapo kwani kafanya kupitia ule uzi wake mpya wa Selfika basi nimekuwa naburudiiika hasa nikiwa sina kazi napitia baadhi ya page ambapo huwa naishia kucheka tu kwani kuna baadhi ya mambo ni burdaani kabisaa.

Pia nawapongeza wadada wa Jf ni visu jamaani. Khaaa. Toka uzi uanze sijaona picha isiyo na kiwango mule.

Sesten Zakazaka huyu ndio kapunguza ule uteja wa Jf kwa Shadeeya hasa ile kauli mbiu yake "itumie Jf kufaidika na sio ilimradi tu".
 
Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwaka 2019. Hiki ni kikosi changu bora. Nafurahishwa na kuelimishwa na michango ya members wengi sana ila hawa nimetokea kuwaelewa sana..

1. Mshana Jr
2. Chige
3. OKW BOBAN SUNZU
4. Salary Slip
5. Khantwe
6. Shadeeya
7. Baba swalahe
8. FORTALEZA
9. joanah
10. Smart 911 (cc mahondaw)
11. manengelo

=====UPDATES======

Kwakua teams haichezi bila wachezaji wa akiba tuongeze hapa..

SUBS :

Mzigua90, Ghazwat, CHIEF-MKWAWA, extrovet, Sky Eclat, Bujibuji, wa stendi, Mwifwa
binti kiziwi

Unaweza panga kikosi chako pia.

UZI TAYARI.

Inapendeza sana... 👏

Cc: mahondaw
 
Kwa niaba ya ndugu yangu Chige nasema ahsante sana.
 
Back
Top Bottom