First eleven yangu ya Yanga 2017-18

Wonderful

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
7,347
Reaction score
5,986
Endapo usajiri wa mnigeria Henry Tony Okoh utafanikiwa basi Yanga itakua na kikosi kipana sana na itakuwa ni changamoto kwa mwl Lwandamina kuchagua kikosi kitakachomfaa kwa siku hiyo.
Binafsi hiki mimi ndiyo kikosi changu cha kwanza(super eleven)
1.Youthe Rostand
2.Juma Abdul
3.Mwinyi Haji.
4.Canavaro
5.Henry Tony Okoh
6.Papy Kabamba Tshishimbi
7.Burhan Yahaya(New Msuva)
8.Raphael Daudi
9.Amisi Tambwe
10.Dolnad Ngoma
11.Ibrahim Ajib.
Sub
12.Kakolanya
13.Kessy
14.Chirwa
15.Kamusoko
16.Yondani
17.Mwashiuya
 
Hivi Rafael Daudi kimeeleweka?
 
R Afael Daudi kimeeleweka?
 
Mkuu unajua kukipanga kikosi cha Yanga itatakiwa mwl awe anaoteshwa aise na kuletewa first11 usingizini,maana kikosi kizima cha wacheza 25-26 kitakua ni moto wa kuotea mbali.
Au awe na panadol pembeni.
 
Mkuu hongera kwa kupangilia kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania bara lakin nina wasiwasi na beki(mlinzi) wa kushoto ambaye ataweza kumsaidia fundi haji mwinyi ngwali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…