First eleven yangu ya Yanga 2017-18

First eleven yangu ya Yanga 2017-18

Vyanzo vya habari vinadai Dogo bado anamkataba wa miezi 6 kwa mantik hyo basi Azam wakikomaa hatuwezi kumtumia mpka dirisha dogo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sure na ndio lengo bcoz Azam waligoma,but nadhani wakishamakizana na Himid Mao Kuja Yanga wiki ijayo I'm sure Ata Gadiel atatoka,manake Yanga na Azam wapo kwenye hatua nzr ya mazungumzo ili kumuachia Himid Mao Kuja Yanga.
 
Mkuu Kama himid Mao mkami anakuja yang sikuona kama kuna haja ya kumchukua yule mkongoman

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endapo usajiri wa mnigeria Henry Tony Okoh utafanikiwa basi Yanga itakua na kikosi kipana sana na itakuwa ni changamoto kwa mwl Lwandamina kuchagua kikosi kitakachomfaa kwa siku hiyo.
Binafsi hiki mimi ndiyo kikosi changu cha kwanza(super eleven)
1.Youthe Rostand
2.Juma Abdul
3.Mwinyi Haji.
4.Canavaro
5.Henry Tony Okoh
6.Papy Kabamba Tshishimbi
7.Burhan Yahaya(New Msuva)
8.Raphael Daudi
9.Amisi Tambwe
10.Dolnad Ngoma
11.Ibrahim Ajib.
Sub
12.Kakolanya
13.Kessy
14.Chirwa
15.Kamusoko
16.Yondani
17.Mwashiuya
Mkuu acha masihara yan Raphael Daudi ndo amweke benchi Kamusoko hapo nimekataa, pili Canavaro lazima ampishe Kelvin Yondani Vidic na mwisho Obrey chirwa hawezi kaa benchi mkuu either Tambwe aanzie benchi au acheze winga ya kulia.
 
677dc9950fc146057f2c12551bb008eb.jpg
 
Mkuu acha masihara yan Raphael Daudi ndo amweke benchi Kamusoko hapo nimekataa, pili Canavaro lazima ampishe Kelvin Yondani Vidic na mwisho Obrey chirwa hawezi kaa benchi mkuu either Tambwe aanzie benchi au acheze winga ya kulia.
Mkuu huu ni mtazamo wangu tu mkuu,kumbuka Yanga hii ni pana na kuna mafundi wengi kwenye hiyo nafasi,unamkumbuka yule dogo WA mbao fc Pius Buswita?na yeye ni kwenye nafasi hiyo.
 
Endapo usajiri wa mnigeria Henry Tony Okoh utafanikiwa basi Yanga itakua na kikosi kipana sana na itakuwa ni changamoto kwa mwl Lwandamina kuchagua kikosi kitakachomfaa kwa siku hiyo.
Binafsi hiki mimi ndiyo kikosi changu cha kwanza(super eleven)
1.Youthe Rostand
2.Juma Abdul
3.Mwinyi Haji.
4.Canavaro
5.Henry Tony Okoh
6.Papy Kabamba Tshishimbi
7.Burhan Yahaya(New Msuva)
8.Raphael Daudi
9.Amisi Tambwe
10.Dolnad Ngoma
11.Ibrahim Ajib.
Sub
12.Kakolanya
13.Kessy
14.Chirwa
15.Kamusoko
16.Yondani
17.Mwashiuya
Kwangu mimi ningependa mwl lwandamina awachezeshe wafuatao
1. Rostand
2.kessy
3.haji mwinyi
4. Mcameroon mpya
5.yondan
6.kamusoko
7.chirwa
8.rafael daud
9.tambwe
10.donald ngoma
11.mwashiuya

Sub
Kakolanya
Cannavaro
Ajib
Tishimbi
Abdul
Buswita

Fomesheni ya team ni 4-2-3-1

Mkuu wonderful nimekukubali, hatinaye Rafael Daudi ndani ya nyumba.
 
Daaaa! Ni raha tupu kuwa shabiki/mpenzi wa yanga
 
Mkuu huu ni mtazamo wangu tu mkuu,kumbuka Yanga hii ni pana na kuna mafundi wengi kwenye hiyo nafasi,unamkumbuka yule dogo WA mbao fc Pius Buswita?na yeye ni kwenye nafasi hiyo.
Usiwaze mkuu hatugombani tunashauriana tu yote hii katika kuijenga timu yetu.
 
Kwangu mimi ningependa mwl lwandamina awachezeshe wafuatao
1. Rostand
2.kessy
3.haji mwinyi
4. Mcameroon mpya
5.yondan
6.kamusoko
7.chirwa
8.rafael daud
9.tambwe
10.donald ngoma
11.mwashiuya

Sub
Kakolanya
Cannavaro
Ajib
Tishimbi
Abdul
Buswita

Fomesheni ya team ni 4-2-3-1

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa fomula hii inabidi Raphael apige kiungo wa chini then kamusoko apande juu,kumbuka kamusoko si mkabaji mzuri sana hasa kwenye mechi ngumu,but kumrudisha Raphael chini ni hasara mkuu,maana huyu dogo pia ni mfungaji mzuri na pia ni fundi wa pass za mwisho thats why Yanga wanakomaa wampate Himid Mao ili Raphael abaki juu daima na Kamusoko.
 
Mkuu wonderful nimekukubali, hatinaye Rafael Daudi ndani ya nyumba.
Pamoja mkuu.Sasa tunamsubiri Himid Mao and hope kwenye mechi yetu ya tar 6.8 na Singida united friend mechi tukamtambulisha.
 
Back
Top Bottom