i keep ma promise
Senior Member
- Feb 8, 2017
- 152
- 489
Vyanzo vya habari vinadai Dogo bado anamkataba wa miezi 6 kwa mantik hyo basi Azam wakikomaa hatuwezi kumtumia mpka dirisha dogoAnakuja Gadiel Michael mkuu yule dogo WA Azam so usikonde.
Sure na ndio lengo bcoz Azam waligoma,but nadhani wakishamakizana na Himid Mao Kuja Yanga wiki ijayo I'm sure Ata Gadiel atatoka,manake Yanga na Azam wapo kwenye hatua nzr ya mazungumzo ili kumuachia Himid Mao Kuja Yanga.Vyanzo vya habari vinadai Dogo bado anamkataba wa miezi 6 kwa mantik hyo basi Azam wakikomaa hatuwezi kumtumia mpka dirisha dogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kama himid Mao mkami anakuja yang sikuona kama kuna haja ya kumchukua yule mkongomanSure na ndio lengo bcoz Azam waligoma,but nadhani wakishamakizana na Himid Mao Kuja Yanga wiki ijayo I'm sure Ata Gadiel atatoka,manake Yanga na Azam wapo kwenye hatua nzr ya mazungumzo ili kumuachia Himid Mao Kuja Yanga.
Mkuu acha masihara yan Raphael Daudi ndo amweke benchi Kamusoko hapo nimekataa, pili Canavaro lazima ampishe Kelvin Yondani Vidic na mwisho Obrey chirwa hawezi kaa benchi mkuu either Tambwe aanzie benchi au acheze winga ya kulia.Endapo usajiri wa mnigeria Henry Tony Okoh utafanikiwa basi Yanga itakua na kikosi kipana sana na itakuwa ni changamoto kwa mwl Lwandamina kuchagua kikosi kitakachomfaa kwa siku hiyo.
Binafsi hiki mimi ndiyo kikosi changu cha kwanza(super eleven)
1.Youthe Rostand
2.Juma Abdul
3.Mwinyi Haji.
4.Canavaro
5.Henry Tony Okoh
6.Papy Kabamba Tshishimbi
7.Burhan Yahaya(New Msuva)
8.Raphael Daudi
9.Amisi Tambwe
10.Dolnad Ngoma
11.Ibrahim Ajib.
Sub
12.Kakolanya
13.Kessy
14.Chirwa
15.Kamusoko
16.Yondani
17.Mwashiuya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Simba kutoka kuitwa chura hadi 7upHizi habari 7UP WAKIZIONA WANATETEMEKA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji643]G[emoji23] [emoji23] [emoji23] Simba kutoka kuitwa chura hadi 7up
Yah kaanguka miwili leoHivi Rafael Daudi kimeeleweka?
Hapana mkuu yule mkongoman ilikua Ni lazima tumchukue ili tuwe na visiki viwili vya maana,in case mmoja akiumia tunakua bado na chuma kingine.Mkuu Kama himid Mao mkami anakuja yang sikuona kama kuna haja ya kumchukua yule mkongoman
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huu ni mtazamo wangu tu mkuu,kumbuka Yanga hii ni pana na kuna mafundi wengi kwenye hiyo nafasi,unamkumbuka yule dogo WA mbao fc Pius Buswita?na yeye ni kwenye nafasi hiyo.Mkuu acha masihara yan Raphael Daudi ndo amweke benchi Kamusoko hapo nimekataa, pili Canavaro lazima ampishe Kelvin Yondani Vidic na mwisho Obrey chirwa hawezi kaa benchi mkuu either Tambwe aanzie benchi au acheze winga ya kulia.
Yanga Kama DawaMkuu huu ni mtazamo wangu tu mkuu,kumbuka Yanga hii ni pana na kuna mafundi wengi kwenye hiyo nafasi,unamkumbuka yule dogo WA mbao fc Pius Buswita?na yeye ni kwenye nafasi hiyo.
Kwangu mimi ningependa mwl lwandamina awachezeshe wafuataoEndapo usajiri wa mnigeria Henry Tony Okoh utafanikiwa basi Yanga itakua na kikosi kipana sana na itakuwa ni changamoto kwa mwl Lwandamina kuchagua kikosi kitakachomfaa kwa siku hiyo.
Binafsi hiki mimi ndiyo kikosi changu cha kwanza(super eleven)
1.Youthe Rostand
2.Juma Abdul
3.Mwinyi Haji.
4.Canavaro
5.Henry Tony Okoh
6.Papy Kabamba Tshishimbi
7.Burhan Yahaya(New Msuva)
8.Raphael Daudi
9.Amisi Tambwe
10.Dolnad Ngoma
11.Ibrahim Ajib.
Sub
12.Kakolanya
13.Kessy
14.Chirwa
15.Kamusoko
16.Yondani
17.Mwashiuya
Mkuu wonderful nimekukubali, hatinaye Rafael Daudi ndani ya nyumba.Endapo usajiri wa mnigeria Henry Tony Okoh utafanikiwa basi Yanga itakua na kikosi kipana sana na itakuwa ni changamoto kwa mwl Lwandamina kuchagua kikosi kitakachomfaa kwa siku hiyo.
Binafsi hiki mimi ndiyo kikosi changu cha kwanza(super eleven)
1.Youthe Rostand
2.Juma Abdul
3.Mwinyi Haji.
4.Canavaro
5.Henry Tony Okoh
6.Papy Kabamba Tshishimbi
7.Burhan Yahaya(New Msuva)
8.Raphael Daudi
9.Amisi Tambwe
10.Dolnad Ngoma
11.Ibrahim Ajib.
Sub
12.Kakolanya
13.Kessy
14.Chirwa
15.Kamusoko
16.Yondani
17.Mwashiuya
Mkuu tulia, kikosi kipana ndio siri ya ushindi.Mkuu acha masihara yan Raphael Daudi ndo amweke benchi Kamusoko hapo nimekataa, pili Canavaro lazima ampishe Kelvin Yondani Vidic na mwisho Obrey chirwa hawezi kaa benchi mkuu either Tambwe aanzie benchi au acheze winga ya kulia.
Usiwaze mkuu hatugombani tunashauriana tu yote hii katika kuijenga timu yetu.Mkuu huu ni mtazamo wangu tu mkuu,kumbuka Yanga hii ni pana na kuna mafundi wengi kwenye hiyo nafasi,unamkumbuka yule dogo WA mbao fc Pius Buswita?na yeye ni kwenye nafasi hiyo.
Mkuu kwa fomula hii inabidi Raphael apige kiungo wa chini then kamusoko apande juu,kumbuka kamusoko si mkabaji mzuri sana hasa kwenye mechi ngumu,but kumrudisha Raphael chini ni hasara mkuu,maana huyu dogo pia ni mfungaji mzuri na pia ni fundi wa pass za mwisho thats why Yanga wanakomaa wampate Himid Mao ili Raphael abaki juu daima na Kamusoko.Kwangu mimi ningependa mwl lwandamina awachezeshe wafuatao
1. Rostand
2.kessy
3.haji mwinyi
4. Mcameroon mpya
5.yondan
6.kamusoko
7.chirwa
8.rafael daud
9.tambwe
10.donald ngoma
11.mwashiuya
Sub
Kakolanya
Cannavaro
Ajib
Tishimbi
Abdul
Buswita
Fomesheni ya team ni 4-2-3-1
Sent using Jamii Forums mobile app